Live Clouds 360: Maalimu Seif anazungumzia mstakabali wa siasa nchini

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Karibu!

Stay tuned!

Maalim Seif anasema uamuzi wa kuhamia ACT wazalendo haukuja ghafla bali ulikuwa ni mchakato.
Anasema walifanya mazungumzo na vyama vyote vya UKAWA ikiwemo Chadema na Nccr na kwote walikaribishwa ila ACT wazalendo walipata scores nyingi.

Kitu kikubwa kilichowavutia kwa ACT wazalendo ni uthabiti wa viongozi wao, malengo na dhamira zao pia rika la viongozi wao kwani ni vijana wenye nguvu.

Maalim Seif amesema wameenda ACT wazalendo kuimarisha nguvu ya upinzani na kamwe si kutafuta madaraka.

Maalim anasema watakusanya kadi zao zote za Cuf bendera pamoja na sare na watampa KC Zitto ili akamkabidhi Msajili wa vyama ambaye atajua pa kuzipeleka.

Cuf ina majengo matatu tu mengine yote ni mali za wanachama hivyo wana hiyari ya kubadili matumizi.
Lengo la ACT ni kushika dola hivyo amevitaka vyama vya upinzani kuungana ili kuitoa CCM madarakani.

Maalim Seif amemalizia kwa kusema lengo la msajili na serikali ilikuwa ni kummaliza kisiasa wakiamini wakishamnyang'anya Cuf basi atakimbilia Chadema ndio sababu walipigwa na butwaa waliposikia amejiunga na ACT wazalendo.

Ahsanteni
Maendeleo hayana vyama!
 
Ha ha ha! ACT Wazalendo ilipata scores nyingi! Sawa wakati ukuta
 
Naamini maalim seif 2020" atapumzika, alicho fanya ni kuwaongoza wana chama wake kwenye jahazi jipya, Juma Duni anaweza kuachiwa nafasi ya maalim.

CCM wanamuogopa maalim kwa misimamamo yake, wanavyo jidanganya kwamba maalim akitoka kwenye siasa ccm zanzibar itatawala, yaguju.

Wazanzibari wana msimamo yao kwa ujumla watapigania haki yao ya muungano kuhakikisha zanzibar inapata mamlaka kamili, iwe nje ya siasa au ndani ya siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kauli ya tumekuja upinzani kuimarisha upinzani na si kutafuta madaraka/kushika dola siipendi hata kidogo na Sumaye alivyokuja Chadema na yeye aliisema tena.,tutaimarisha huo upinzani mpk lini?

Waache unafiki,tumekuja ACT kwa lengo la kukamata dola ili tuifikishe nchi yetu kwny malengo kadhaa full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi wameelewa, watakusanya kadi Na bendera Za CUF kisha watakabidhi kwa Msajili sio kuchoma Moto Kama walivyoanza kufanya

Prof Kweli anatisha maana walijua akianzisha nao Tena kasheshe Mahakaman Ni mpaka 2021
 
Naamini maalim seif 2020" atapumzika, alicho fanya ni kuwaongoza wana chama wake kwenye jahazi jipya, Juma Duni anaweza kuachiwa nafasi ya maalim.

CCM wanamuogopa maalim kwa misimamamo yake, wanavyo jidanganya kwamba maalim akitoka kwenye siasa ccm zanzibar itatawala, yaguju.

Wazanzibari wana msimamo yao kwa ujumla watapigania haki yao ya muungano kuhakikisha zanzibar inapata mamlaka kamili, iwe nje ya siasa au ndani ya siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
maalim Ni Member wa TISS.
Yupo kuuwadaa umma wa Wazanzibar.

Maalim yupo kufanya balance ya Wapemba na wa Unguja

jiulize,Ni majuzi maalim alikuwa Makamu wa 1 wa rais katika serikali ya Umoja wa Wazanzibar kipi aliwafanyia kutokana na yale "Malalamiko yake hewa"??

Makamu wa 1 wa rais Ni cheo Cha pili baada ya rais
je,alishindwa kutumia cheo na mamlaka yake??

Zanzibar itakombolewa lakini c na hawa mbwamwitu waliojivika ngozi ya kondoo type ya kina maalim

unaweza usinielewe
lakini kumbuka hata Jiwe hasingeropoka kuhusu u TISS wa Diwani athumani Yule DG wa Takukuru
Usingejua Wala kuelewa.

MAALIM YUPO KWA MATAKWA YA WENYE NCHI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kauli ya tumekuja upinzani kuimarisha upinzani na si kutafuta madaraka/kushika dola siipendi hata kidogo na Sumaye alivyokuja Chadema na yeye aliisema tena.,tutaimarisjmha huo upinzani mpk lini?

Waache unafiki,tumekuja ACT kwa lengo la kukamata dola ili tuifikishe nchi yetu kwny malengo kadhaa full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app

'... Hili dubwashika ( CCM) tukilishindwa Mwaka huu ( 2015) tutasubiri kwa Miaka Mingine 50...'- Bab Duni
 
Kwani DG wa Takukuru unashtuka kusikia ni TISS?

Unadhani kwa cheo kile alifikaje pale?
maalim Ni Member wa TISS.
Yupo kuuwadaa umma wa Wazanzibar.

Maalim yupo kufanya balance ya Wapemba na wa Unguja

jiulize,Ni majuzi maalim alikuwa Makamu wa 1 wa rais katika serikali ya Umoja wa Wazanzibar kipi aliwafanyia kutokana na yale "Malalamiko yake hewa"??

Makamu wa 1 wa rais Ni cheo Cha pili baada ya rais
je,alishindwa kutumia cheo na mamlaka yake??

Zanzibar itakombolewa lakini c na hawa mbwamwitu waliojivika ngozi ya kondoo type ya kina maalim

unaweza usinielewe
lakini kumbuka hata Jiwe hasingeropoka kuhusu u TISS wa Diwani athumani Yule DG wa Takukuru
Usingejua Wala kuelewa.

MAALIM YUPO KWA MATAKWA YA WENYE NCHI

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu!

Maalim Seif amemalizia kwa kusema lengo la msajili na serikali ilikuwa ni kummaliza kisiasa wakiamini wakishamnyang'anya Cuf basi atakimbilia Chadema ndio sababu walipigwa na butwaa waliposikia amejiunga na ACT wazalendo.

Ahsanteni
Maendeleo hayana vyama!
Huko chadema wangemmaliza vipi labda?!
 
Back
Top Bottom