William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Changia kwa kupiga simu 022 211 6348
watanzania bwana, utawezaje kupima tija ya uteuzi kabla hata aliyeteuliwa hajaanza kazi!!!! Kwa nini tusisubiri mteuliwa aingine mzigoni then tuone mchango wake katika kuwaletea watanzania maendeleo!!!
Hee ! kumbe tunaangalia tabia za watu na sio uwezo wa kufanya kazi ! how abt Madoctor na maprof. ambao wako vizuri kitaaluma na nje ya kazi zao ni walevi wanaotembea na mabar meids !tunazijua tabia zake