Live chanel 10; UTEUZI WA MBATIA UNATIJA KWA TAIFA

Watanzania bwana, utawezaje kupima tija ya uteuzi kabla hata aliyeteuliwa hajaanza kazi!!!! Kwa nini tusisubiri mteuliwa aingine mzigoni then tuone mchango wake katika kuwaletea watanzania maendeleo!!!
 
Mara nyingi Uteuzi si hoja hasa ukizingatia uteuzi wa kuwa mbunge, tuna wabunge zaizi ya mia tatu wanatija gani kwa taifa letu badala ya kuwa reber stamp, basi ni vema tuone je akiteuliwa kua waziri ataleta tija? na je Katiba inamrushusu raisi kuunda baraza la wawaziri mseto na je Kama kisheria rais anaruhusiwa kuunda maraza la mawari mseto alikua wapi na mwisho Kwan Ismail Jusa alipoteuliwa alileta tija gani kwa taifa maswali mengi kuliko majibu, Lakini kama mheshimiwa Mbatia atapewa wizara na akaisimamia vizuri na kutatua changamoto zinazolikabili taifa letu basi tutaona huyu anatija kwa taifa letu lakini kwa sasa kuwa tu mbunge hatuwezi kupima endapo ni tija ama si tija, tunajua pia anamchango mkubwa katika medali za siasa la taifa letu lakini atafanya nini pale watakapopiga kura za sio ama ndiooo ndani ya wabunge wengi mafidadi? Madiwa Lushoto
 
watanzania bwana, utawezaje kupima tija ya uteuzi kabla hata aliyeteuliwa hajaanza kazi!!!! Kwa nini tusisubiri mteuliwa aingine mzigoni then tuone mchango wake katika kuwaletea watanzania maendeleo!!!

tunazijua tabia zake
 
Wateue wa vyama vyote hivyo, lakini wasiguse mtu wa cdm!...hatutaki vyeo vya hongo!
Hivi mtu yeyote anaweza kusema Mbatia ana added advantages gani kuwazidi watu kibao wanaoonekana kufanya kazi zinazoonekana?
Katiba mpya iweke vigezo vya rais kuteua Mbunge wa viti maalum, vinginevyo tutakuwa na Bunge la watu wa ajabu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom