LIVE:Breaking news:CHARLES TAYLOR SENTENCING

LIVE:Breaking news:CHARLES TAYLOR SENTENCING

[h=1]Charles Taylor jailed for 50 years
[/h]
prosecution had asked for 80 years they should now settle for 50 yrs as Taylor is looking for legal avenues to set himself free something he will find hard to do with these judges determined to end impunity in developing World............
 
img_606x341_2604-charles-taylor-trial (1).jpg
The Special Court for Sierra Leone has jailed former Liberian president Charles Taylor for 50 years for his role in aiding and abetting murder, acts of violent sexual abuse and using child soldiers in the Sierra Leone conflict of 1996 to 2002.

people suffer from Sierra Leone conflict
Sierra_Leone_civil_1518568a.jpg 4.jpg sierraleone1ih9.jpg

He deserved.
 
oooh, my God!

dunia hii??

watu wamekuwa wanyama mwitu, sijuui tukimbilie wapi??

kwa kweli bila Yesu, dunia ni ubatili mtupu!!

===================

1.
Yesu nakupenda, u mali yangu,
anasa za dunia, kwangu sitaki,
Yesu nakupenda, u mali yangu,
anasa za dunia, kwangu sitaki

njoo njoo Yesu, maishani mwangu,
njoo njoo ukae, rohoni mwangu,
shetania anivizia, simtaki kwangu,
njoo njoo Yesu, uniokoe,

tukimaliza kazi, tutavikwa taji,
tutaimba wimbo mpya wa Mwana Kondoo,
watakaoshinda vita vya dunia hii,
waimba pamoja na na Malaika,
wataoshindwa vita vya dunia hii,
walia pia na kusaga meno!!

2.
maisha ya dunia, yamejaa taabu,
nimejitahidi sana, sikufanikiwa,
maisha ya dunia, yamejaa taabu,
nimejitahidi sana, sikufanikiwa,

dunia ni ubatili, ubatili mtupu,
maisha ni maua, yanyauka upesi,
duniani si kwetu, kwetu ni mbinguni,
tutamani ya Mbinguni, ruache ya dunua!!

tukimaliza kazi, tutavikwa taji,
tutaimba wimbo mpya wa Mwana Kondoo,
watakaoshindwa vita vya dunia hii,
waimba pamoja na na Malaika,
wataoshindwa vita vya dunia hii,
walia pia na kusaga meno!!

SHUKRANI: ST. JAMES TUMAINI CHOIR-KALOLENI
ARUSHA
WIMBO: YESU NAKUPENDA
ALBUM: SILAHA YA USHINDI

mbarikiwe sana wapendwa,

Glory to God!
 
Teylor hana kiwanda cha silaha, naye aliagiza kuto huko kwao tena aliwaambia anaenda kubadilishana na dhahabu kwa wahasi wa seralione... alikuwa kama wakala... mbona maboss wake wameachwa?
 
miaka 50, lol
ukiongeza na ya kwake aliyo nayo sasa sijui itakuwaje.
 
[h=3]

charles-taylor.jpg

Charles Taylor


**Shuka chini kwa video
Rais wa zamani nchini Liberia Charles Taylor amehukumiwa miaka 50 jela na makahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita.

Mwezi jana Taylor alipatikana na makosa ya kuwaunga mkono waasi nchini Sierra Leone katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kati ya mwaka 1991 na 2002.

Upande wa mashtaka ulitaka kiongozi huyo wa zamani kusukumwa jela miaka 80. Charles Taylor amesisitiza hana hatia yeyote na anatarajiwa kukata rufaa.

Mwandishi wa BBC aliyeko The Hague Anna Holligan anasema rufaa dhidi ya hukumu hii huenda ikachukua miezi sita. Akitoa hukumu hiyo Jaji Richard Lussick amesema dhuluma zilizotekelezwa nchini Siera Leone zilikuwa za kinyama zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya binadamu.

16216689.jpg

Taylor pia alihukumiwa kwa kutumia watoto kama majeshi wakati wa vita huko Liberia

Mahakama maalum ya Kimataifa inayochunguza dhuluma za kivita nchini Sierra Leone ilimpata Taylor na hatia ya makosa 11 dhidi ya binadamu ikiwemo mauaji na ubakaji.

Taylor amekuwa Rais wa kwanza kuhukumiwa kwa makosa ya vita na Mahakama ya Kimataifa tangu kesi za Nuremurgs dhidi ya watawala wa Kinazi baada ya Vita Kuu ya Pili duniani.

Charles Taylor amelalamikia upande wa mashtaka kwa kuwatisha mashahidi katika kesi dhidi yake. Rais huyo wa zamani anatuhumiwa kwa kuwapa silaha waasi na kubadilishana na almasi.

Kesi dhidi ya kiongozi huyo wa zamani wa Liberia inasikilizwa The Hague kwa hofu kwamba kufanyika kwake Sierra Leone huenda kukazua vurugu katika kanda hiyo. Taylor anatarajiwa kuhudimia kifungo chake nchini Uingereza.

Video:


Posted by Roy Snr. at 12:21



[/h]
 
Back
Top Bottom