zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
Mgogoro wa kidipromasia kati ya Liberia na Sierra Leone sasa ni wazi unanukia.
Muda wowote utalipuka
Mgogoro wa kidipromasia kati ya Liberia na Sierra Leone sasa ni wazi unanukia.
Je na wazenj nao wanaweza kulalama ICC????
Amekula miaka 50 angalia link hiyo BBC Swahili - Habari - Hukumu dhidi ya Taylor kutolewaKala mvua ngapi?
the international court sentencing former liberian
president.
The former liberian president jailed for 50 yeas
source_bbc
Amekula miaka 50 angalia link hiyo BBC Swahili - Habari - Hukumu dhidi ya Taylor kutolewa
Thanks mkuu,mvua 50 si mchezo bado huyu dogo anayependekeza wenyeviti wa ulinzi na usalama wa raia(ma dc) ashikishe adabu na acampo!
Ocampo usistaafu subiri mpaka 2016 uwashikishe adabu hawa mabazazi ya kwetu huku.
hukumu imeshasomwa kitambo kafungwa miaka 5o ingawa waendesha mashtaka walitaka afungwe miaka 80
cha kushangaza habari ya TBC mchana huu wanatudanganya eti mahakama hiyo itatoa hukumu baadae hii leo
hiyo baadae ni saa ngapi? inakuwaje chombo cha taifa hakitumii mtandao kutafuta taarifa sahihi
shame on them, nimesikiza mchana huu taarifa ya habari ya 7.
bora ibinafsishwe wapewe watu wenye uwezo wa kuindesha.

Ocampo kesha ajiriwa na FIFA kuchunguza ufisadi ndani ya FIFA.
Kwa kweli mkuu vyombo vyetu vya habari vinatia aibu, naona bado tupo nyuma sana, hii kesi mimi nimeiona live kupitia KTV ya kenya, tena nimeiona online, sisi sijui kama tuna tv ya kwetu unayoweza kuipata online na ambayo inaweza kuonesha matukio makubwa duniani kama haya, kwa kweli wakenya wanajitahidi sana kwenye tasnia ya habari