LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

mpaka sasa Bay wameshot 8 na goli 2 wakati ars hata moja hawajashot..
 
arsenal wangekuwa wanajaribu wange pata lakufutia machozi ila kwa style hii wasubiri kichapo tu..
 
Msd wawape washabiki wa Bunduki Kontena la Panadol.
Yaani timu imeoza kama mbolea ya ruzuku yaani inapunguzo kwa wafungaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom