LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

Pressure inapanda na kushuka, jana tu watu walipewa LIBOLO likawaumiza, leo tena LIBAYAN...! Hata sina raha
 
Ushindi leo bila wasi wasi.

Tukianza na kasi tunauwezo wa kuwafunga, lakini kama tutaanza kwa kusinzia kusubiri mpaka tufungwe ndio tuamke tutajuta

Mtani wangu mpendwa, kila la kheri leo...ila jiwekee akiba ya pressure kidogo maana Arsenal wanaweza kukufanya usilale usiku huu.
Nitamtania sana Wacha1 mkifungwa..nimempaniaje?!!!!..
 
me nawahurumia hawa asenal acha leo wajitahidi washinde,sema tatizo lao hawa wakishinda hii midomo yao tutakoma nayo...
 
We have come to bury Arsenal not praise them! Eh bana tumekuja kumzika Asenali wala siyo kumtukuza.
 
Dah... Benchi la Beyern limesimama mbaya... kila sub watakayofanya MSUMARI....
 
Back
Top Bottom