Gang Chomba uwe jukwaani mkuu..!
Nipo namuangalia Ton Kloose...
Pressure inapanda na kushuka, jana tu watu walipewa LIBOLO likawaumiza, leo tena LIBAYAN...! Hata sina raha
Duh..! Nani katupia?Dk 10 Ars 0 - 1 Bay
Duh..! Nani katupia?
Dk 10 Ars 0 - 1 Bay
Hizi Bundiki za Emirete hazina madhara yaani kama wako Ugenini
Huu ni ugonjwa wa Moyo kwa washabiki wa Bunduki.
Hamia JF mkuu!Tanesco wameshaniharibia burudani.