LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

mi naangalia hii mechi na dr wangu wa BP pembeni maana mi ni mnazi wa arsenal
 
refa anatoa kadi kama za mwaliko wa ngoma msoga...
 
Dk ya 55 Arsenal wanapata goli kupitia Podoski
Wajitume ushindi unawezekana.
Kidogo Bunduki zimebadilika.
 
Back
Top Bottom