Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Ukilinganisha defence,kiungo na ushambualiji utagundua weak link ya Bayern ni defence halafu kuna tofauti kubwa sana ya game za local league ukilinganisha na Champs(angalia perfomance ya Chelsea,ManCity,Dortmund,Bayern,ManU kwenye local league na CL)
Kwenye Champs league Bayern amefunga magoli 15 na amefungwa magoli 7 katika mechi 6 nafikiri unaona tofauti ya local league na CL
Kwenye Champs league Bayern amefunga magoli 15 na amefungwa magoli 7 katika mechi 6 nafikiri unaona tofauti ya local league na CL