LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

Marefa zamu yao kutamba sasa, dk 5 from where? Waongeze hata 30 wapigwe cha 3
 
Yaani watabiri wa jukwaa leo naona mambo magumu.
Mavi ya kale yananuka leo
Kanzu na sarakasi leo imekubali
 
Jamani Baca aibu leo naona jahazi linazama hakuna Messi wala Sisimizi
Mabao ya nguruwe
 
If there is anybody deserve to be a man of the match, then that's has and must be Riccardo Montolivo!
 
Yaani watabiri wa jukwaa leo naona mambo magumu.
Mavi ya kale yananuka leo
Kanzu na sarakasi leo imekubali

Mi jamaa hao toka jana nilikuwa nawaangalia hawajui bubu akibanwa na mlango au akikanyagwa huongea.
 
Back
Top Bottom