Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,869
- Thread starter
- #161
whaaaaaaaaaaaaat......
pazini anaua mpira kifuani then refa anasema Faulo...
Ok tuliyataraji
Umeona mkuu wangu? Watu hawajui kama kuna kitu kinaitwa factor of safety.............. Kwa mfano msome huyu hapa chini..................
Plan B? Yanini kama Plan A inalipa? Maisha ni leo au kesho??? Damn!!!!!
mmmmmhhhh eti enhee...kumbe milan ndio wanabebwa na refa, mambo ya rede na netiboli kwenye futiboli ndio nini!
roho mbaya kwa gaucho mpaka ac huipendikumbe milan ndio wanabebwa na refa, mambo ya rede na netiboli kwenye futiboli ndio nini!
100%. Do I say any more?Safety factor? How safe are they so far ..?
Safety factor? How safe are they so far ..?
Ohhh Mammmmmmmah!!Dk 60 milan 1 - 0 barca
hapo na pique kala kadi kama ilivo kuwa kule camp nou msimu uliopita..Naona mpango wa kuiondoa Barcelona unaanza rasmi goli limefungwa huku mpira ukiwa umechezwa foul ya mchezaji namba 17 aliunawa