Wana marefa na Uefa nyuma yao, that's why
roho mbaya kwa gaucho mpaka ac huipendikumbe milan ndio wanabebwa na refa, mambo ya rede na netiboli kwenye futiboli ndio nini!
Hapo umenena. Nakumbuka mwaka juzi RvP alipopewa kadi nyekundu kiajabuajabu wakati wa mechi yao na Arsenal
jamaa anatamani kuingia lakini ndio hivoooBalaaaaaaa!
ineeeeeeeeeeeeeeesta anakosa hapa..
jamaa anatamani kuingia lakini ndio hivooo