LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

brazili mabeki nambari mbili na tatu (mafulubeki) mawinga, ndio asili - cafu, carlos, companero na wengineo
maana naona hadi sebuleni na falao kisha tweta ila pazini atawacost wasipo kuwa makini..
 
Ni beki na kuna msimu alitoa assist nyingi kuliko hata viungo.
kuna baadhi ya gemu huwa hapandi kabisa hasa wakiwa wamenyewa..ila gemu ya leo ni droo kwani huwa wanajikuta wanacheza sana pasi zisizokuwa na maana..
 
huwa wanasema mjenzi huru huwa hakosei yaaani yupo perfecty mwanzo mwisho anaweza fanya hivyo...
Umeona mkuu wangu? Watu hawajui kama kuna kitu kinaitwa factor of safety.............. Kwa mfano msome huyu hapa chini..................
Tatizo Barca huwa hawana plan B.
Plan B? Yanini kama Plan A inalipa? Maisha ni leo au kesho??? Damn!!!!!
 
Mkuu Gang Chomba, mpaka sasa mmejitahidi kupunguza idadi ya magoli. HT 0-0! Ningependa ngoma ilale hivyo hivyo ili usiadhirike mdau mwenzangu. Lakini pole, tutaendaje quoter final bila kuwabandika.?
 
Game ipo wazi sana kwa Milan, get in Traole for Muntari and Niang for Pazzini
 
pazini anaua mpira kifuani then refa anasema Faulo...
Ok tuliyataraji
 
Back
Top Bottom