Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,432
phew..! finally the dance has begun.. let try to look for some more tapes (you know those things that had two holes and a magnetic tape around two wheels.. like a ribbon?). And then we'll try to get those big santuri. You don't remember them? they look like big CD the size of a sinia!! One of the best one had a song called "Kasongo Yeye"..
......Ooh Gosh, I love this mwanakijiji. Umenikumbusha mbali sana. Kasongo yeyeeeeeeeee, mobali na ngaye!!! Ikitoka hiyo santuri inakuja, najituliza kwake kasuku kutoka kwa less wanyika!!!! Ooh, my god, Kivumbi na jasho.
Back to the topic. Invisible thanks for this document.
Maaamaaa, hii thread yaweza badilika mwelekeo....
SteveD.
Yani wewe Mwanamalundi,
hizo nyimbo ziliimbwa lini na wapi? yaani hapa nimeanza kucheka tu maana inaonekana watu munatunga nyimbo hapa!
kajituliza kwake kasuku?
mwanakijiji na dada Asha kazi kwenu!
Nyimbo hizo mnachaguliwa za kucheza.
Damn invisible haya yote umeyaanzisha wewe kwa kucheza muziki wa zamani sasa sisi wengine tucheze nini sasa!
Invisible niambie niupandishe vipi hapa.
## lilikuwa jambo la maana kwa yule kijana kumpatia liftiii
## nilipofika pale Salendar, gari yangu ilinizimikia eeehh...
...nadhani uliiimbwa na Mlimani Park, ni wimbo ninao upenda sana... huwa unaniliwaza kiroho.. je kuna mshabiki wa wimbo huu hapa JF? naomba details zake tafadhali na lyrics zake kama mnazo, wakati tukiendelea kusikiliza 'kibao kilichowekwa hapa na Invisible'..
Subiri nimtafute Geeque..
SteveD.
Halikuwa jambo baya kwangu kwa yule kijana kumpatia liiiiiiift x 2
Kama unavyofahamu yapata wiki ya tatu, gari langu lina matatizo ya kuzimika zimikaa ooooh, mume wangu ooooh, oooooooh.x2
Kutoka nyumbani oysterbay, kufika salenda, gari langu lilinizimikiaa, na yule kijana alinisaidia kusukuma, mume wangu, oooh oooooh oooohhx2
Kilichonishangaza siyo lift mama watotoo,
Ni tabasamu na vicheko mulivyokuwa navyo ndani ya gari
Nilichanganyikiwa midomo ilianza kunicheza x2
Mfano wa mtu aliyemeza kijinga cha moto, mfano wa mtu aliyemeza kipande cha moto mama watoto
Paaaaaaaaamba mooooooto, awamu ya pili.
Defunk, nipatie link ulipo kama file tusaidiane kuupandisha... Invisible anaweza kuwa ameshalala huyo mtoto wa mjini...
SteveD.
nipe muda ni-convert to mp3. nilimaanisha kuiweka i-play kwenye page. ila kupandisha kama zip sio wazo zuri...maana ni distribution hiyo. Hati miliki. sio wazo zuri. nitaweka sehemu kusikiliza. Nipe 5 - 10 mins.
If you don't care, just check out my Signature!