=Listen to the Music and Vote=

Tuendelee kuleta vitu kama hivi JF?

  • NDIYO

    Votes: 41 91.1%
  • HAPANA

    Votes: 4 8.9%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    45
phew..! finally the dance has begun.. let try to look for some more tapes (you know those things that had two holes and a magnetic tape around two wheels.. like a ribbon?). And then we'll try to get those big santuri. You don't remember them? they look like big CD the size of a sinia!! One of the best one had a song called "Kasongo Yeye"..

......Ooh Gosh, I love this mwanakijiji. Umenikumbusha mbali sana. Kasongo yeyeeeeeeeee, mobali na ngaye!!! Ikitoka hiyo santuri inakuja, najituliza kwake kasuku kutoka kwa less wanyika!!!! Ooh, my god, Kivumbi na jasho.

Back to the topic. Invisible thanks for this document.
 
Yani wewe Mwanamalundi,

hizo nyimbo ziliimbwa lini na wapi? yaani hapa nimeanza kucheka tu maana inaonekana watu munatunga nyimbo hapa!

kajituliza kwake kasuku?

mwanakijiji na dada Asha kazi kwenu!

Nyimbo hizo mnachaguliwa za kucheza.

Damn invisible haya yote umeyaanzisha wewe kwa kucheza muziki wa zamani sasa sisi wengine tucheze nini sasa!
 
Hii nyimbo ya kasuku iliimbwa na less wanyika miaka ya 70 au mwanzoni mwa 80. Wakati tunakunywa kangara kwenye vilabu vya pombe hizo nyimbo zilikuwa zinatuliwaza sana.

Kajituliza kwake kasuku eehh oooh, hataki maneno, hataki matata, anachopata kina mtosha aahh hataki matata, hataki matata, naomba mungu amusaidie ooh, daima milele aaah, kasuku eeh. leleeeeeee, leeeeeeeeee, ooohhhhhhhhhhh, ooooooooooohh!!!x2

Hii nyimbo ya kasongo iliimbwa na super mazembe.

Basi jamani imetosha sasa, turudi kwenye topic.
 
Where's Brazameni? Songi hili yahitajika tuchezee kule mapenzi.Weekend ishaanza tutakutana kule!
 
## lilikuwa jambo la maana kwa yule kijana kumpatia liftiii

## nilipofika pale Salendar, gari yangu ilinizimikia eeehh...

...nadhani uliiimbwa na Mlimani Park, ni wimbo ninao upenda sana... huwa unaniliwaza kiroho.. je kuna mshabiki wa wimbo huu hapa JF? naomba details zake tafadhali na lyrics zake kama mnazo, wakati tukiendelea kusikiliza 'kibao kilichowekwa hapa na Invisible'.. :)

Subiri nimtafute Geeque..

SteveD.
 
Halikuwa jambo baya kwangu kwa yule kijana kumpatia liiiiiiift x 2
Kama unavyofahamu yapata wiki ya tatu, gari langu lina matatizo ya kuzimika zimikaa ooooh, mume wangu ooooh, oooooooh.x2

Kutoka nyumbani oysterbay, kufika salenda, gari langu lilinizimikiaa, na yule kijana alinisaidia kusukuma, mume wangu, oooh oooooh oooohhx2

Kilichonishangaza siyo lift mama watotoo,
Ni tabasamu na vicheko mulivyokuwa navyo ndani ya gari

Nilichanganyikiwa midomo ilianza kunicheza x2
Mfano wa mtu aliyemeza kijinga cha moto, mfano wa mtu aliyemeza kipande cha moto mama watoto

Paaaaaaaaamba mooooooto, awamu ya pili.
 
Thank you MWANAMALUNDI!!

SteveD.
 
Defunk, nipatie link ulipo kama file tusaidiane kuupandisha... Invisible anaweza kuwa ameshalala huyo mtoto wa mjini... :)

SteveD.

nipe muda ni-convert to mp3. nilimaanisha kuiweka i-play kwenye page. ila kupandisha kama zip sio wazo zuri...maana ni distribution hiyo. Hati miliki. sio wazo zuri. nitaweka sehemu kusikiliza. Nipe 5 - 10 mins.
 
Poouwaa kabisa!!

SteveD.
 
nilimaanisha kuiweka i-play kwenye page

Kumbe ni mwimbo kweli eh? Sawa; just put the code... Ngoja tuje tuweke JF Radio ambako members watakuwa wanasikiliza miziki moja kwa moja. No downloads, ziwe zinacheza kwenye Media Player directly
 
mama weeeee mmenifanya nicheze Kasongo hapa... oh my good lorrrd!! Mngeniona ninavyozungusha wheelchair yangu..!
 
If you don't care, just check out my Signature!

CMB, ule wimbo wa binti kiziwi unaupenda sana wewe inaelekea...

Subirin ni kong'oli tena kiunganishi kwenye signature yako... lol

SteveD.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom