Kama ambavyo nimeamini siku zote, tatizo kubwa liko kwenye TRA na accounting methods za hao wenye migodi.
Hiyo ratio ya debt/equity sio realistic na hakuna biashara inayoweza kuendeshwa hivyo.
Hiyo kamati ya madini inatakiwa kuwa na wachumi zaidi ya hata wanasheria. Sheria za kimataifa za accounting zifuatwe na kuwe na adhabu kali pale inapoonekana kuna kitu kimekiukwa. Inatakiwa waanze kufuata IFRS (International Financial Reporting Standards.)
Hizo annual reports za hayo makampuni ziwe ni public information, hivyo kuwapa nafasi analyst kuweza kuchambua kama hizo results zina make sense.
phew..! finally the dance has begun.. let try to look for some more tapes (you know those things that had two holes and a magnetic tape around two wheels.. like a ribbon?). And then we'll try to get those big santuri. You don't remember them? they look like big CD the size of a sinia!! One of the best one had a song called "Kasongo Yeye"..
unafanya mchezo nini. Enzi hizo wenyewe tumetinga Raizoni, umechana Afro, shati la draft huku likizungukwa na kola kuubwa; suruali ya "kumwaga" halafu miwani mikubwa ya jua. Pembeni, nimebeba radio yangu ya "Phillips" - ndiyo yenyewe! .. naelekea kupata "mtungi"..
phew..! finally the dance has begun.. let try to look for some more tapes (you know those things that had two holes and a magnetic tape around two wheels.. like a ribbon?). And then we'll try to get those big santuri. You don't remember them? they look like big CD the size of a sinia!! One of the best one had a song called "Kasongo Yeye"..
karibu Bi. Asha.. chagua wimbo, "Nakolele mama nakolele Viva Krimasi", "Georgina", "Mpenzi wangu Rose"?
dear.. nichagulie kibao basi maana dikteta aliniharibu hasa baada ya watu wake kunilazimisha kusikiliza Wanapaselepa, TP OK Jazz, Morogoro Jazz, Kilwa Jazz n.k ..
Defunc.. umenikumbusha mbali sana.. nakumbuka nilishinda shilingi ishirini kwenye mashindano ya kudance pale Bwalo la Maafisa wa Polisi alipokuja Mzee Makassy. Ati baada ya kutoka jasho tukaambiwa tumefungana ikabidi tugawane shilingi 20.. wakati huo ndio kibao kimetoka tu.. !
Maaamaaa, hii thread yaweza badilika mwelekeo....
SteveD.
Lol. Title ya thread ni 'listen to the Music'...kwahiyo nafasi inatengenezwa kwenye dancing floor.