List ya watu 10 wenye IQ kubwa duniani

List ya watu 10 wenye IQ kubwa duniani

Same as you. You had time to reply to idle mind's thread ... lol

Nice you have agree....
Btw the word "lol" give me hard to determine your gender atm.

Ain't a thread bumper... Therefore have a nice day.
 
Let me help you with the gender thing, im female and lesbian, so are you .... lol
 
Tiger unaweza kulinganisha mchezo wa chess na gololi? basi IQ yako itabidi niishushe kutoka pale ilipo

Inategemea unaangalia kwa mlengo upi? Kwani wewe unajua ni kitu gani kinachofanya mtu mmoja awe na shabaha na mwingine asiwe na shabaha?
 
Last edited by a moderator:
mbona prof J.K hayumo? at the age of 60s he has attained a lot of doctorate degree's
 
Hahahaha thats because you went to the link did the test and failed.....hahaha

Nilishapita kwenye hizo link mara kadhaa and I never finished a single test. You wanna know why? Nilijiuliza, "could this be the perfect test for me?" And the answer was NO.
 
ndio lazima kuwe na standard bila standard huwezi pima na standard zinawafavour wazungu tu.

mfano umetoa website ya kupima iq jamaa yupo vijijini ana edge, mwengine yupo new york ana 4g ile website inaangalia jinsi gani utajibu harakaharaka yale maswali bila kukosea. sasa huoni kama huyu mwenye edge tayari ana disadvantage?

maana wa edge akisubmit kitu kinaanza kuload sekunde kadhaa au hata dakika zitapotea wakati mwenye 4g hapo hapo fomu yake itapokelewa.

haiwezekan kupima akili ya mtu

Excuses are one of the reasons we don't have a single black person in the list, and that's gonna be the case until we change that mindset and the victim mentality.
 
so una agree chess ni standard ya iq
 
so una agree chess ni standard ya iq

Katika kusoma kote kuna sehemu wamesema Playing chess is the measure of IQ? Did you read anywhere where they say Einstein was a master chess player? or Tesla? The point is if your IQ is low its not gonna be easy to play chess because it requires a lot of thinking(which is one of the attributes of high IQ people) which is why that Russian dude is considered as one of them(the guys with the highest IQs).

The point is kuna vitu vingi vina determine your IQ na kimojawapo ni kuwa Grandmaster wa chess because of the critical thinking involved in mastering the game of chess. Soma vizuri ndugu yangu acha kutafuta visingizio eti kuna favouritism, excuses is actually on of the measure of low IQ people (ouch!) because they believe somebody else is the reason for their incompetence or some other factors.
 
Tulinganishe hata nchi zao na zetu afu tuje kwenye IQ zetu na zao
 
we huoni kwamba mtu ambae amecheza chess zaidi ya mara 1000 na ana uwezo mzuri wa kukariri anaweza kukariri zile moves?

watu wanaocheza draft wanaweza kunisaidia hapa, kuna watu wamekariri moves na anakwambia nikicheza mchezo huu hutoki hapa na anajua kabisa ukianza kucheza kete gani yeye ata counter na move ipi.

mchezo wowote duniani hauwezi tumika kama standard ya iq, kwa style hii basi tumueke na messi ana iq kubwa, sababu kukusanya kijiji si kila footballer anaweza, tumuweke na tiger wood, na roger federer, kina lewis hamilton na chopra walioshinda f1 wakiwa watoto,
 
You are comparing chess with checkers now? Dude have you ever tried playing chess? (By the way Federer gets his butt handed to him every time he faces Nadal, so even if you are going with sportsmen he shouldn't be there, however being good in sports doesn't equate to having higher IQ, actually sportsmen are some of the dumbest people i know, fikiria tu wakati unasoma shule, asilimia kubwa ya watu waliokua wanacheza sports were mostly very dumb and that's a fact).
 
point yangu naijumuisha michezo kama chess unaweza kuwa bora kwa kufanya repitition nyingi. just imagine mtu kwa siku anakula na kucheza chess kuanzia asubuhi hadi jioni atakuwa bora bila kujali ana iq kubwa hadi ndogo. and yes najua kucheza chess though sio master ila najua rules zote kuanzia king, queen, killer, knight hadi castle na soldiers
 
Back
Top Bottom