The bos
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 350
- 80
List ya watu 10 wenye IQ kubwa duniani
![]()
mbona dr slaa hayupo mmmhaaaaaaa
List ya watu 10 wenye IQ kubwa duniani
![]()
ndio lazima kuwe na standard bila standard huwezi pima na standard zinawafavour wazungu tu.
mfano umetoa website ya kupima iq jamaa yupo vijijini ana edge, mwengine yupo new york ana 4g ile website inaangalia jinsi gani utajibu harakaharaka yale maswali bila kukosea. sasa huoni kama huyu mwenye edge tayari ana disadvantage?
maana wa edge akisubmit kitu kinaanza kuload sekunde kadhaa au hata dakika zitapotea wakati mwenye 4g hapo hapo fomu yake itapokelewa.
haiwezekan kupima akili ya mtu
kama mtu kaekwa ana iq kubwa kwa ajili ya chess, basi mimi nikieka standard ya akili ni kucheza gololi am sure kuna kitoto kimoja cha africa kitakua kwenye hio top 10, au nikieka bao kuna mzee mmoja nae atakuepo.
tuisanganyane hapa huwezi pima iq ya mtu yoyote duniani hakuna standard moja itakayoweza tumika kote duniani ikawa inatenda haki
Bofya link: IQTest.com
I.Q. (intelligence quotient) in general, is an assessment of your ability to think and reason
Wapuuzi hawa....#kiranga wa jf hayupo??sikubaliani na listi
Huyo aliyewapima IQ mbona hayupo?
Huu ni upuuzi mwingine.
Ila hata ingekuwa kweli Kiranga Hapaswi kuwemo. Mtu anayeamini kulikuwa hakuna kitu na hakuna kitu kilipasuka bila kisababishwa na bila sababu na mlipuko huo ukaleta maua na vipepeo, ana uwezo mfinyi wa kufikiri!
Wapi Kiranga kasema hivyo?
Tupe link hapa.
Ukishindwa mmbeya.
Mpaka itakapo patikana "pengine" mashine itakayokuwa na uwezo wakupima mtu wa umri, jinsia, jamii na wa elimu yoyote ndipo nitakapokubaliana na IQ grading.
Otherwise I am not buying it.
Sijajua inahusianaje na Tech n Gadgets.
Stupid people
huyo Gary Kasparov na akili zote kashindwa kuwashawishi warussi wampe nchi badala ya Putin
Nadhani tuipeleke kwenye forum ya mahusiano, mapenzi na urafiki