List ya wanawake hatari hapa mjini. Ukimuona mke wako yupo nao toa talaka

Namba moja hapana kabisa......... mtoe dada wa taifa...
Hiyo namba 4
9 kweli kabisa
5 mambo yao ni fire fire kabisa
 
Kufollow hiyo list ndio kutafanya huyo mke afuate na tabia zao!!! Basi hyo mke atakua kili nna(ganuki haswa)
 
Kuna utafiti uliokamilika ila kwa sababu maalum hautatolewa officially kwa public! Utafiti wenyewe ni juu ya uhusiano wa kabila la Wema na roho ya ufilisi!!! Hebu kila mmoja pale alipo ajaribu kuwakumbuka watu anaowajua waliooa kabila hilo na hali zao kiuchumi! Binafsi nimekubaliana na utafiti huo kwa 89%

Mmmmh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom