List ya wanawake hatari hapa mjini. Ukimuona mke wako yupo nao toa talaka

Ulichokisem nikweli kabisa mtoa mada.

Niukweli ukitembea na mwizi naww utakua mwizi.

Nakatika Saikolojia mara nyingi sana Mwanadamu hufurahishwa na mwanadamu mwenzake ambaye anamatendo kama yake .

Ningumu kukuta Shamsa ford awe na urafiki wadamu na yule mdada aliimba "nipe macho nioneeeee machoo eeehhh" .

Nmemsahau jina..ila nachotaka sema nikwamba ndege wafanano huruka pamoja.....ukiona mwanamke anaurafiki wa moja kwa moja au kutetea maisha ya hao ulowataja..huyo ni wakumtazama Kwa makini sana


Asiwambie mtu...mwanamke mcha Mungu bana yaan mpaka Raha
 
Mkeo akiwa mbumbumbu ni mbumbumbu tu....mwanamke yeyote mwenye smartphone lazima apite kwenye account za hao watu na nyingine za umbea umbea, shilawadu...utamzuiaje?
We ukiona mkeo kaanza kuleta ka dharau..zibua makofi wawili tu af uone..tatizo wanaume wa siku hizi tunawalea mno wake zetu....mnaiga wazungu wakati IQ za wanawake wa wakizungu ni kubwa kuliko za kwetu...wa kwetu wanahitaji kuwa controlled. PIGA
 
Kama mkeo/ girlfriend wako anaweza kushawishiwa na hao watu, ulishakosea kuchagua kitambo tu.

Unaweza kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage ardhi, au unaweza kuvaa viatu tu na mguu wako usikanyage ardhi.

Kuwafuatilia hao watu (ardhi) ni sawa na kutaka kuwekazulia dunia nzima (kumkataza mkeo asiwe nao kwenye mitandao,in person etc) ili mguu wako usikanyage ardhi (ili mkeoasichafuliwe0 wakati ungeweza kuvaa kiatu tu (wakati ungeweza kuchagua mke mzuri, kuongea naye vizuri, kumpanyama ya ulimi) na mguu wako usikanyage ardhi vile vile.

Sijui kama mfano umeeleweka.
 
wewe utakuwa wa dar, mimi mke wangu huku unyanyembe anawakaribiaje watu hao, anaanzia wapi
 
Baada ya msiba wa mtoto Paty, na sinema zinazoendelea nimejifunza mengi haswa baada ya kuona kumbe yaliyokuwa yanasemwa na watu kuwa huu mji wa Dsm kuna wanawake ambao ni Waalimu wa wanawake. Hawa wanapenda maisha ya hadhi, maisha ya instagram, maisha ya kuwapelekesha walio waoa na si wote ila wengi wanapenda mambo ya kwenda kwa waganga. Na kila mwanamke hapa unaweza kusema wana pepo kwa sababu ndani ya maisha yao wamebeba mazito kabisa hadi hawaogopi.


  1. Mange Kimambi (ukiona mke wako anachat, au yupo karibu na huyu dada basi kuna siku utalia)
  2. MunaLuv ( Huyu alikuwa wa hatar sana zaman, amewabadili wanawake wengi inawezekana kabadilika ila bado nakushauri asikae karibu na mke wako)
  3. Shamsa Ford (Huyu atamzururisha mke wake wako mpk atapata bwana mwingine anaeenda china/hongkong)
  4. Faiza Ally (huyu atamshauri mke wako akumwagie hata maji ya moto au akuchome kisu)
  5. Joyce kiria ( ukiona yupo karibu na mke wako, walah utakuja kulia, hata kituo cha police utalala au kw makonda)
  6. Zamaradi Mtetema ( ukishaona girlfriend wako ana ukaribu na huyu, jiandae, atakuacha madhabahuni, kama umemuoa jua atakukimbia, siku zaja)
  7. Wema Sepetu ( Ukishaona mke wako au mpenz wako yupo karibu na Sepetu baasi ashakuwa mwanamke wa mjini, jiandae kuwa ATM, kuwa na hela tu. Japo hatakuacha wala kukuaibisha, na atakupenda ila lazm ufilisike)
  8. Lulu Michael (Ukishaona mke wako au mpenz wako yupo karibu na huyu dada. Anza kulia, atakuwa ana siri nzito sana hata mimi nimeshindwa kujua ni ipi)
  9. Bi Sandra (ukishaona mke wako ana ukaribu na huyu mama basi umeoa mjinga wee jua tu hivyo)
  10. Hamisa Mobetto ( ukishamuona girlfriend hata anamfuatilia hamisa insta baasi, lazm atakuacha aende kwa watu maarufu)
Ninamaanisha ninachokisema. Hawa ndiyo wanawake wa mjini hakuna anaegopa mtu wala chochote, wamezindikwa isipokuwa Mange Kimambi japo Mange ndiyo kiranja wao.

Mimi list yangu ni hii, ukiona mke wako anashiriki kwenye moja ya hizi. Piga chini haraka kwa spidi ya chafya:
11. Akiwa mfuasi wa Namaingo
12. Akiwa mfuasi wa network marketing (wakitapeliwa huko stress wanaleta ndani)
13. Wanao shinda kwenye makanisa ya mitume na manabii siku zote za wiki (sasa we una mke mfuasi wa zumalidi una akili wewe?)

nitaleta uzi unaojitegemea
 
Sasa hapo mke wako ni staa mpaka uwakute nao ukiwa uko active unawaza hivi atawaonea wapi atawapatia wapi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom