List ya beach nzuri DSM

mkuu nipe location ya hzo bichi
Mkuu njoo kigamboni beach zote bora hapa Tz Zipo huku. Ukishuka pantoni nenda kituo cha daladala kisha panda daladala zinazokwenda mjimwema.
 
Khaaah ndo man nilisem mtu awe making niwaongo kwnz pia watoto ni nusu ya bei akiw chini ya 5yrs ni bure. Kila kukicha wanataratib mpya wizi juu ukiongea mpk na viongoz wao kauli gongana na wahudumu.dai receipt uone wanavyojizungush[emoji38]

wako secondary hivyo sio watoto ila wako under 18!
 
wako secondary hivyo sio watoto ila wako under 18!
Well! Hyo 40kuoga plus beverages tu ilishakufaga baada mnyoosho wa tabia kuingia tn watu wazim ikawa 20thau na kids 10thau ukitak vyote kuoga na buffet ndo unapew kw 40thau jpil ndo tofaut kdg
 
Well! Hyo 40kuoga plus beverages tu ilishakufaga baada mnyoosho wa tabia kuingia tn watu wazim ikawa 20thau na kids 10thau ukitak vyote kuoga na buffet ndo unapew kw 40thau jpil ndo tofaut kdg

Asante mkuu nilijua nilipigwa super na wale warembo !all and all ni sehemu nzuri sana ya kupumzika!
 
Asante mkuu nilijua nilipigwa super na wale warembo !all and all ni sehemu nzuri sana ya kupumzika!
Nice place sio masihar mm ilikuw routine lkn baad ya kuona huo ushenz wao mar mbil tatu cku hz naend zngu kwngne man hla kutaft shda bdo tn uitumie kw shd no no no....relaxing z also a duty to fulfill.
 
Mkuu una endaga kiwanja gani !ili Na me siku mmoja nipige ziara ya kushitukiza maeneo hayo!
 
Mkuu njoo kigamboni beach zote bora hapa Tz Zipo huku. Ukishuka pantoni nenda kituo cha daladala kisha panda daladala zinazokwenda mjimwema.
kwa hyo zote zinapatkana kipnde cha kuanzia kigamboni mpaka mjmwema?
 
Kweli ushamba ni mzigo, yaani huu uzi umeniacha solemba kabisa. Nimeelewa lakini nimepata kizungumkuti. Kweli Dar imebadilika!

Mimi nilikuwa najuaga Dar, beach za kuogelea ni Ferry(Niliwahi kufika na kuogelea!) , Coco Beach (Niliwahi kufika na Kuogelea) na Ndege beach(Sikuwahi kufika kabisa, nilikuwa napasikiaga tu). Yote hayo yalikuwa kitambo, zaidi ya miaka 15 iliyopita. Na kote huko ilikuwa ni bure kabisa.

Sasa leo nimeshangaa kusikia majina ya mabeach kibao, na hapo hapo kuna viingilio vya kulipia!
Kweli zama zimebadilika kabisa.

Sasa nimeelewa kwanini Watendaji wengi wa serikali wanalalamika sana kusikia serikali inahamia Dodoma. Na pia nimeelewa kwanini Magufuli hataki kabisa serikali ibakie Dar. Na mwisho sasa nimeelewa kwanini Manji anapambana kuhakikisha anamilikishwa ufukwe wa Coco.

Kwa hii speed ya Hapa kazi tu, muda sio mrefu hizo beach zote zitakuwa bure(Kwa hiari au lazima) au zitageuzwa kuwa maeneo ya wavuvi kuuzia samaki, kuanikia Nyavu zao au kuchongea mitumbwi yao.
Ngosha hataki anasa wala bata. Ni kazi tu. Jamaa ni mbishi balaa.
Lazima wala bata wa Dar waisome namba.
 
escape bei ya vyakula ikoje?
 
unataka atekwe mwenzio
 
Ndio ilikuwa michezo yangu hii.
Inna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…