Hakuna aliyefungua kesi hadi hivi sasa kwa upande "wao" isipokuwa "wamewaagiza" mawakili wao kufuatilia...
Naamini tutapata mengi wakienda mahakamani. Hivi hawa magaidi wana akili timamu? Gazeti limewanukuu akina Dr. Slaa sasa wanalishitaki kwa misingi gani? Kama si ulimbukeni? Jamani Nyerere si afufuke tu aone hii minyang'au inavyotafuna nchi kama mchwa!!!!! Naamini bado anaendelea kumuomba Mungu aendelee kuiadhibu mmoja baada ya mwingine.
Hii hata mimi imeniacha hoi na kampuni iliprinti gazeti jamaa analishitaki.
Au ndio maana blogger wetu wa kitanzania hawaandiki chochote kuhusu BUZWAGI wanaogopa nao kushitakiwa.
...anyway 'pride comes before a fall' - you will seeNaambiwa kuwa huyu naye ametishia kumfikisha Dr.Slaa mahakamani, je?hii ni mbinu ili kuwaonyesha wafadhili kuwa huu ni uongo na ndio maana wanasema kuwa wataenda mahakamani?