Hii ni orodha ya makampuni yanayomilikiwa na RA pamoja na mdogo wake anaiyetwa AKRAM AZIZ pamoja na Mohamed Enterprises.
Katita hii orodha kuna kampuni kama Tanzania Packages Manufacturing Co ambayo anaimiliki yeye na Mohamed Enterprises. Swali? Je kuna kampuni ngapi za Mohamed Enterprises Tanzania Limited Ambazo RA ana share? Tunaendelea kuunganisha dots ..... kujua ukubwa wa hii network ya wizi Kabla hatuja ibomoa.
- Africa Tanneries Ltd- Mwanza
- Tanzania Leather Industry Ltd- MOROGOR
- African Trade Development Group (Tz),
- Tanzania Packages Manufacturing Co owning with Mohamed Enterprises
- Caspian construction
- New Habari corporation
- Wembere Hunting Safari company with Akram Aziz
Huyu mtu hana nia nzuri na nchi hii. Wanaomkumbatia ipo siku watajuta. Ameshajipenyeza kwenye systm kwa kiasi cha ajabu, na kwa kweli Tz yote kaishika miononi mwake kama tufe. Siku akiamua akaimwaga chini tumekwisha.