List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

Baadhi ya matatizo yanayotukabili watanzania tulio wengi ni haya:

1. Wengi wetu ni waoga. Tunaiogopa system na watawala wake. Kifupi tuna nidhamu za woga! hatutaki kuonekana "wakorofi mbele ya wakubwa"

2. Wengi wetu tumeshakata tamaa na maisha kwa sababu ya ugumu wa hali ya maisha. kuna wale wanaoamini kwamba Tanzania hapa ilipo haiwezi tena kurudi kwenye hali ya kawaida..kwa hiyo yeyote anayejaribu kupambana na system "anapoteza mda" na (hawa wako wengi-wasomi kwa wakulima-hata humu JF wamo)

3. Wengine wanaamini kwamba jukumu la kuikomboa na kuijenga Tanzania iliyo bora na yenye manufaa kwa kila raia litafanywa na "wengine".."Mimi simo". Hawa ni wabinafsi..as long as Iam fine..I dont care the rest.

4. Wengine tunasikia neno Ufisadi lakini kwa sababu tumebahatika kuwa katika maisha mazuri "hatu-ifeel" impact ya huu ufisadi. MATOKEO YAKE..TUMESHALIZOEA HILI NENO NA TUNALIONA KAMA NENO LA KAWAIDA TUU... Kifupi we dont know what is happening.

5. Waliobaki wako kwenye comfort zone..wameridhika na hawataki status quo ibadilike. Hawa ndo wako karibu na watawala (akina Salva et al). Wako against any change.

6. Na mwisho kuna wale wachache wanaoamini kwamba iwe leo au kesho TZ yenye neema inawezekana kama kila mtu akitimiza wajibu wake. Hawa wanaamini kwamba maadui wa Tanzania yetu ni wale wanaopewa dhamana ya kuwaongoza wenzao na wanawageuka along the way.

Sasa sijui wewe uko wapi...
 
Yes brother, I salute you comrade. We are here for our country. Hakiogopwi kitu kama ni kifo, ni hatima ya wote. We need to send a message, a very strong message.

We need to ask all of the tough questions, The time of smiling is over, our prosecutors had chances to ask all of the tough questions for us unfortunately they didnt do it. It is our turn to do it and this time we will know the truth. Tunataka tufahamu Uhusiano wa kibaishara wa RA na METL.
 
Katika vita yoyote tujue kuna pande mbili na kila upande itakuwa na wafwasi wake. Hata hawa mafisadi wana wafuasi wao. Mtu kutaka mabadiliko ni kutokana na ile hali ya kujua kuwa sasa kwa jinsi mabo yalivyo hayana manufaa kwangu. Kuna watu daima wataendelea kuutetea utawala wa ufisadi kwa sababu wana nufaika. kwa nini watake kubadili kitu kinacho fanya kazi in their favor? Hata wakati wa kugombania uhuru kulikuwa na Watanganika wachache waliotaka watawala wa kikoloni wabaki kwa sababu walikua waki nufaika. Kwa hiyo hata kwenye vita dhidi ya ufisadi watu wasi shangae sana ufisadi uki tetewa kwa maana kuna watu wana nufaika nao. Tusi tegemee kila mwananchi atakua upande wa kupinga ufisadi. Hata humu JF tuna jumuika watu mbali mbali ambao zaidi ya nick names zetu hapa hatujuani. Kwa maana hiyo hata ndani ya JF ina wezekana kabisa kuna watu who gain from the country's lose. Wengine watakuja hata kwa njia za umamluki. Kama mwanajamii mmoja alivyo sema, tunabidi tumjue adui yetu ni nani na ana nguvu kiasi gani. Tunabidi tutambue nani yupo na sisi na nani hayupo na sisi. Kama hapa JF kumtambua mtetea ufisadi ni raisi sana. Chukua thread yoyote na soma post zake kadhaa utajua tu yupo upande gani. Hata mamluki utamjua tu maana post hii atasema hivi baadae anaji contradict mwenyewe.

Inabidi sasa tutambue kuwa kwnye vita hii hakuna upande usiyo na wafuasi wake. Hata shetani ana wafuasi wake. Wenzetu upande wa ufisadi ukiacha wale wajinga wanao tumiwa tu kama midoli ni wame jipanga vizuri na wata tumia njia yoyote kuhakikisha utawala wao unaendelea. Mafisadi siyo ukuta kana kwamba tuta wapiga tu na wao hawata rusha ngumi. There are a well funded, well organized & well connected group. This war is not as easy as one may think. Kupinga kwetu ufisadi tujue ni kuna manufaa ya watu hao waitwao mafisadi tuna chokonoa. Hawata tuchekelea tu wakati tuna wavurugia. The only way to win this is war is by logic, common sense, planning & organization. Silaha kuu ya kushinda hi vita ni wananchi. Wananchi ndiyo watu wakua recruited. Mafisadi wao wata jaribu kuleta wananchi wengi iwezekanavyo upande wao kutetea masilahi yao, si mumeona hata JF hapa? Basi na sisi tunaopinga ufisadi muda umefika na sisi kurecruite majeshi yetu ambao ni wananchi wenzetu. Wananchi wengi kwa bahati mbaya Tanzania hawana uwezo wa kujua mambo yote yanaoendelea. Sasa basi ikiwa ni hivyo ina maanisha upande wowote utakao wahi kupandikiza mawazo yao ndiyo watashinda support ya hawa wananchi. Tuache blah blah sasa. Mafisadi wana advantage over us katika kila nyanja kuanzia vyeo, pesa mpaka infrastructure. The only asset we have is the people. Wakina Slaa na Zitto wameonyesha njia. Wao wameenda moja kwa moja kwa wananchi, it's time the rest of us do the same.
 
Madela,
Hapo umenena , unajua watu huwa hawaamki asubuhi tu wakaingia kwenye uhusianiano wa kibiashara bila kuwa n ukaribu wa kazi na kuaminiana.Inaonesha Mohamed Enterprises ana Imani sana na RA ambaye watanzania hatumwaamini ,ndio maana wanauhusiano wa kibiashara kupitia Tanzania Packages Manufacturing Co, Ndio maana swali langu nililiacha wazi, je wanauhusiano zaidi ya kampuni hiyo? je kuna kampuni ngapi chini ya mohamed enterprises ambazo zinamficha RA?Ni maswali tunayohitaji majibu.

Mkuu rekebisha hiyo sentensi niliyoweka red hapo weka neno '...ambaye baadhi ya watanzania hatumwaamini...' Mimi na baadhi ya watanzania wengine tuna imani naye kwa sasa hivi kwani hakuna jambo lolote baya dhidi yake ambalo limedhihirishwa katika court of law.
 
Asilimia kubwa ya Watanzania hatumwamini huyu bwana, therefore I stand with my statement. Pili Court of Law ipi unayoionglea mzee, Ingekuwepo hata tusingekuwa tunamjadili huyu mheshimiwa , kwasbabu Ingekuwa imeshafanya Kazi yake, Lakini hiyo Court of Law haipo.
 
Pamoja na maelezo yako mazuri, hiyo asilimia kubwa unayoisema pia inahitaji uwe na takwimu za kusapoti hoja yako, takwimu si siasa na unachojaribu kufanya ni kutushawishi kwa kiasi gani tukubaliane na hoja yako. Sasa ili tuweze kwenda sambamba weka takwimu za hao watanzania 'asilimia kubwa'.
 
Njia rahisi na yenye maslahi kwa nchi na kizalendo ni mahakamani kama una ushahidi zaidi ya hapo umeingia mkenge labda uanze kutafutwa wewe kwa kupotosha ummah

unajua kwamba mtu anaweza kuushitaki mtandao wa jamii mahakama ikaamuru mawasiliano yako na taarifa zako zingine zitolewe kwa maslahi ya nchi ?? Unajua kwamba hilo linawezekana ?

Ndio utajua kwanini hizi chat huwa zina printiwa na kupelekwa kwa wenyewe wazisome

Aliyetoa thread hii ana hoja cha msingi ni kujaribu kuona jinsi ya kumpatia cho chote tukijuacho wengine kuhusu link ya makampuni ya RA then next ni kujua nani ni nani katika hiyo link.

Kwa sababu kuna watu wengine wamekuwa wakijitutumua na kutoa vi-misaada eti "mohamed enterprises" kumbe ni mzee RA kupitia hivyo vi kampuni. Kwa hiyo nadhani mtoa hoja anachotaka ni kuona wale wote walionyuma ya RA wanajulikana na hapo vita dhidi yake/yao itakuwa rahisi.

Kumbuka huwezi kupambana na adui ambaye hujui mipaka yake.
 
Pamoja na maelezo yako mazuri, hiyo asilimia kubwa unayoisema pia inahitaji uwe na takwimu za kusapoti hoja yako, takwimu si siasa na unachojaribu kufanya ni kutushawishi kwa kiasi gani tukubaliane na hoja yako. Sasa ili tuweze kwenda sambamba weka takwimu za hao watanzania 'asilimia kubwa'.

Unamaana wewe mkuu hujui kwamba RA katuibia mpaka udai takwimu ya watu tunaochukizwa na uwepo wa RA tanzania? Hata kama wewe ni miongoni mwa walio kwenye payroll ya RA jua kwamba mwisho wa RA unakuja na atakimbia nchi soon.

Haiwezekani mtu anaiba wewe eti nataka ushahidi, documents zote walizo ghushi ktk sakata la kagoda na richmond, bado tu unataka ushahidi mpaka uibiwe mkeo ndo utasemaje(angekuwa sofia simba mkeo).

Ah....unakera...
 
Kama haukubaliani na maelezo yangu ninakuomba kwanza wewe unipe takwimu zako ambazo zinapingana na sentence yangu hapo juu. Pili haulazimishwi kukubali hoja yangu, ila wajukuu zako watakishukuru kizazi hiki kupitia maswali magumu ambayo tunauliza sasa.
 
Hivi when you are in a position to acquire extra cash,will you or wont you accept it. Mimi naona wengi walalamikao ni maskini
 
That being said,i think if they had an opportunity to acquire cash,they would take it. No offence,no hard feelings..that is fact
 
Unamaana wewe mkuu hujui kwamba RA katuibia mpaka udai takwimu ya watu tunaochukizwa na uwepo wa RA tanzania? Hata kama wewe ni miongoni mwa walio kwenye payroll ya RA jua kwamba mwisho wa RA unakuja na atakimbia nchi soon.

Haiwezekani mtu anaiba wewe eti nataka ushahidi, documents zote walizo ghushi ktk sakata la kagoda na richmond, bado tu unataka ushahidi mpaka uibiwe mkeo ndo utasemaje(angekuwa sofia simba mkeo).

Ah....unakera...

Hayo siyo majibu ya hoja yangu, kila mtu atawajibika kwa yale anayoyasema.
Endapo ametoa kauli inayotaka kuthibitishwa kwa takwimu hilo halina ujanja wala short cut. Kitu cha msingi ni yeye kukiri kuwa hana takwimu na a-rephrase bandiko lake.
 
Kama haukubaliani na maelezo yangu ninakuomba kwanza wewe unipe takwimu zako ambazo zinapingana na sentence yangu hapo juu. Pili haulazimishwi kukubali hoja yangu, ila wajukuu zako watakishukuru kizazi hiki kupitia maswali magumu ambayo tunauliza sasa.

Leokweli,
Mimi sijaleta hoja yeyote ambayo ina hitaji nithibitishe kwa kutoa takwimu, mwenye jukumu la kufanya hivyo ni wewe ili kulinda ukweli wa maneno yako uliyobandika humu. Of course si lazimishwi kukubali hoja zako lakini pia ni muhimu kutoa angalizo kuwa maneno yako mengine uliyoyabandika humu huna uhakika nayo kwa vile huwezi kuthibitisha ukweli wake.
 
Hivi when you are in a position to acquire extra cash,will you or wont you accept it. Mimi naona wengi walalamikao ni maskini

Si maskini wa pesa tu bali hata roho zao.

Watu wanatakiwa waamke na kuchanganya bongo zao jinsi gani wataweza kufanikiwa katika biashara na mambo mengine ya kiuchumi. baadhi ya watu wamekalia maneno mengi lakini hawana mikakati ya kufanya kweli na kulinda mafanikio yao.
 
Hii kweli ni vita dhidi ya ufisadi? Au ni UBAGUZI WA RANGI? mbona ktk orodha yako MENGI hayumo FISADI NYANGUMI!!!
 
Hii kweli ni vita dhidi ya ufisadi? Au ni UBAGUZI WA RANGI? mbona ktk orodha yako MENGI hayumo FISADI NYANGUMI!!!

this is pure racism.. hamna mengi,lowassa,hata huyo kikwete mwenyewe.watu wakiona muarabu kafanikiwa,wao ni 'ufisadi' tu. mimi ni mwarabu,na familia yetu ina hela siziso za kifisadi ila watu wakiona tuna magari mapya,ni hayo hayo maneno ya 'kifisad,kifisadi'
 
Mimi niko kwenye upande wa kupinga ufisadi na sitajiunga na ufisadi hata kidogo kwani wajomba zangu vijijini wanateseka sana hata majirani zangu mjini pia wanateseka ,pia watanzania nao wanateseka wanaodai kwamba wanafurahiya maisha ni kwamba ukimuuliza kwamba yeye kama mzazi akifa watawaajia uridhi gani watoto wake na wajukuu zake hakuwa na jibu.Wanasema umbwa anakula mguuni kwake je asiye na mkuu atakula wapi ?
Sasa nasema hivi Ukombozi siku zote siyo rahisi kama watu tunavyo fikiri hata kwa wale wenye dini fulani wanasema, wenye nguvu ndio watakao utwaa ufalme wa mungu na sio waoga,wala wazembe,Nasema hivi hufisadi utakomeshwa siku moja na Tanzania itakuwa nzuri tu kama tukifanya vitu vivyatavyo.
1.LONGRUN PROGRAM na SHORTRUN PROGRAM katika kupambana na hawa jamaa
Longrun program ni Kuelimisha wanaichi wote kwa kutumia aina zote za mitandao,kama simu,Redio,tv,Magazeti,Mikutano ,kutumia watoto washule kuelimisha wazazi wao ,kutumia semina,Kuelimisha vijana wa kila rika ,Kwa kuwafundisha hadhari za hufisadi ,hasili ya ufisadi madhara ya kupokea rushwa,madhara ya upendeleo usiofaa kama mtu hastaili,ubaguzi,Pia hatari ya kuwa waoga ,wazembe ,wanafiki.
Baada ya mafundisho hayo lazima tufundishe jamii kwamba hapa Dunia hakuna shortcut bali Kuna kufanya kazi kwa bidii pia kufanya kazi kwa bidii na malengo ndio inalipa.
2.Kuwafundisha vijana kujitegemea zaidi kuliko kuajiriwa na lazima tuwambie unapokuwa unapenda ajira kuliko kujiajiri ni kwamba unaweza usifanikiwe zaidi . Pia zazima tuwafundishe wanaichi wa tanzania kwamba kila mmoja ni sawa na mwinge wala haitakiwi kuishi kwa kuogopa mtu na inapobidi kupigania haki yako inatakiwa kila mtu apiganie haki yake mpaka akose ganda wala risasi.Kwamaana hiyo jamii itabdilika na hali ya ubwana utapungua.

3.Short Run program ya kutokomeza huu ufisadi ,uzandiki na ushenzi huu ni.
-Kuakikisha watu wote waliochukua pesa za wanaichi waorodheshwe na ushaidi wao wa wizi uwekwe hadharani Kwenye magazeti ,tv,Redion ,watu wa wafuwate kila mmoja kwa wakati wake bila taarifa na bila kujulikana na mtu yeyote na waulizwe kama wanaweza kurudisha walivyo iba kwa hiari zao kama hawawezi kurudisha basi kifo kiwe ni option kwao bila kuonewa huruma kwani nao hawana huruma.Hiyo ifanyike kwa siri .
Kwani hata wakiokotwa baharini sio mbaya au wanaweza kuunganishwa kwenye matukio fulani ili kufuta ushaidi.Kwa mfano Kama hii ya mbagala ilikuwa nzuri kwa mafisadi kwelikweli.Lakini maskini watanzania wasio na hatia ndio wamepotea MUNGU AWALINDE HUKO WALIKO.

3.Kuna jamaa wanaitwa sniper hawa jamaa wakilenga hawakosei tukabidhishe majina yao kama kweli wanaichi tumewachoka na tuna taka kuwa komesha hao jamaa .Kuna jamaa wengi hawana hajira wanaweza kula tenda hiyo ili watu wengine wasiige tena.Hii wenzetu WACHINA wanaitumia pia baadhi ya inchi za ulaya wanatumia hii njia sasa kama hizo zote tumeshindwa basi tuwaombee kwa mwenyezi MUNGU ili wabadilike waache tabia hiyo na warudishe mali za Watanzania na hii kazi ya Maombi wapewe wakina MTIKILA KAKOBE na wale wengine wanaojulikana kama wachungaji. Kwani kwa BWANA YESU napo hakuna kinacho shindikana .Watanzania tukishindwa nahiyo ya maombi basi .Twende kwa wachawi au Waganga wa kienyeji waloge hawa jamaa kwelikweli tukishirikiana na wale wauzaji wa Alibino, kwani siwengine tunawajau na wengine wako jela .Kwa maana hiyo hao MAPAPA NYANGUMU ,MAPAPA FISADI WOTE WATASHIKA ADABU.
Itimisho.
Watanzania tukishindwa njia zote hizo basi tunapoteza mda wetu wala tusiendelee kujadili habari za hao jamaa waachwe waendelee kuibia watanzania kodi yao na mali zao.
 
this is pure racism.. hamna mengi,lowassa,hata huyo kikwete mwenyewe.watu wakiona muarabu kafanikiwa,wao ni 'ufisadi' tu. mimi ni mwarabu,na familia yetu ina hela siziso za kifisadi ila watu wakiona tuna magari mapya,ni hayo hayo maneno ya 'kifisad,kifisadi'
Mhhhhhh!!!!!!!!!!
 
Njia rahisi na yenye maslahi kwa nchi na kizalendo ni mahakamani kama una ushahidi zaidi ya hapo umeingia mkenge labda uanze kutafutwa wewe kwa kupotosha ummah

unajua kwamba mtu anaweza kuushitaki mtandao wa jamii mahakama ikaamuru mawasiliano yako na taarifa zako zingine zitolewe kwa maslahi ya nchi ?? Unajua kwamba hilo linawezekana ?

Ndio utajua kwanini hizi chat huwa zina printiwa na kupelekwa kwa wenyewe wazisome
Wewe Shy, usiwe unaandika ambayo hayapo. Nani ataamrisha taarifa zako zitolewe? Kwa taarifa yako; hairuhusiwi na marufuku hata yahoo au hotmail kutoa taarifa za subscriber hata kama hotmail au yahoo owners watalazimishwa na FBI sembuse na hiyo Banana country?
 
Najua hilo linawezaka na sipo hapa kwa woga! Nina nguvu usizotegemea.Kungekuwa na utawala wa sheria unauonglea wewe hao mafisadi wasingekuwepo mitaani.

Watanzania wameshachoka na kama huamini yanatowatokea vibaka kama huyu si kizuri na hakikubaliki kisheria lakini kitawafikia mafisadi
j18.JPG
Leo Kweli, wala askukoseshe usingizi huyu Shy! Go on and speak your minds, only make sure you do not offed others!
 
Back
Top Bottom