Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
Maji tuu, cc khantwe
Duuuh maji hatunaga aisee tuna vinywaji vya wakubwa tu...
Maji tuu, cc khantwe
Ahhahha sibadili kamwe nalipenda jina langu hilihili
Na lile lingine la Mrs D... je?
Elewa kiswahili jina hilihili nimelipenda usifukunyue sana
Kwahiyo lile lingine umeliacha?
oh! sasa akija na mamaafacebook unadhani wewe utakuwa salama?
Yule nilisha muweka kaupuni, siku hizi ni mali ya mamaafacebook
Ndio unataka kunipachika lipi
Yan mi unanichoshaga unaponiuliza habari za kaka yako wakati unajua ana wanawake mia mbili kidogo....bas tu
am watching you😛eep:😛eep:😛eep:me too dear, afu ule mpango unaukumbuka? will you be available?