List of Mtaani Most Wanted

List of Mtaani Most Wanted

Birthday yako tutasherehekea rock city, malaika. Tutakata utepe wa malovedavi siku huyo my dearest Khantwe. Mwaliko wa kiwatengu upotezee...!

Mimi Ndio mmiliki wa hiyo malaika hotel kila siku weekend tuko hapo na mke wangu Khantwe kupata upepo wa ziwa na kutizama vimawimbi vya ziwa na kutembea ktk kibeach cha kutengeneza na bustani nzuuuri yetu...!

Tafuta sehemu ingine ndo umshawishi my wife.
 
Last edited by a moderator:

No husband sidanganyiki hata akisema twende kwa Obama. Niko imara aisee labda itokee tu
Cc mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Jamani yani imeniuma hii kitu maana navyomjua mdogo wangu kwa kupanick mhhhh?Mie hata sielewi itakuaje.Hebu jaribu kumuelewesha jamani

Nshatoa ushahidi wa kwanza hapo juu..
Ni kweli!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom