Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
nakuamini dear ila kiwatengu anachochea moto tu lol
Umemuona eeeh!Yani aiseee ni balaaa shida yake tukwaruzane tu lakini hatuwezi sie
nakuamini dear ila kiwatengu anachochea moto tu lol
Mtu na dada yake mnatupigia kelele
Ote mae..ngyikundi pfo
Kizazi Kipyaaaa...
Most Wanted!!
Kina ODM always wanasalveti..
Wengine siyo wapya saaana...but less occupied!!
Sitangazi fursa lakini..
Let me intoduce..
Mafikizolo kutaja jina lako tu ni raha...
kan'tangaze! oops..kuna men kumention jina lako wanaona soo, at first i faced this problem...
mamaafacebook...itabidi uchenchi sasa to mamaajf..
MankaM somehow old but still less occupied.. kabanga ndugu yangu usiseme tena kama sijakueleza hili..chance hii
Tumboo najua First Born anasababu nyingi na wewe regardless ndani kamweka romantic eyes..
i'm happy to see u foramuni..
buddies Heaven on Earth, mwallu mwaka unakata.. mbuzi analiwa wapi?
Mashemeji miss neddy, Khantwe, 'Valentina' Honey Faith (hivi anaye husika na wewe ni Rogie ama utafiti?)...
Mke wangu Mpenzi ( shansarie) anawakaribisha kwenye party yake ya birthday next month...
Don't take this as Udaku!!
teh teh..
Hodiiiiii
kiwatengu bana kwa taarifa za chini ya carpet Tumboo kabadili id... now amekuja na kitoboo hahaaa
anyway mimi sina sababu naye.. mke wangu romantic eyes anakosha sana.
Hodiiiiii
Hodiiiiii
Karibu sana
Maji tuu, cc khantwe
Hahahaha, not yet first born