suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Mke mdogo.
Name rejected.
Mke mdogo.
am watching you😛eep:😛eep:😛eep:
Kaanza lini? Mi nakujua wewe tu
We huoni huyu mzoefu kabisa?
Afu snajifanya hodi...hahaha
Kuna mahali kachafua mazingira...hahaha!
Kweli jf noumer..!
Kachafua wapi...am dying to know lol
Kachafua wapi...am dying to know lol
shikamoo khantwe umbea utakuua
..we mwanamke we!!
Mie nimesema inawezekana kaharibu sehemu ndo maana kaja na ID mpya..! Lakini sijui kaharibu wapi..lol
Hahahahaaa lol basi
Marhaba wii...umenifundisha wewe umbea
Marhabaa neddy..!teeh
Yaani huyu Khantwe anataka niwe m'beya sijui anataka nionekane vipi.
wifi na wifi hapa.
mambo vipi lakini.?
Yuko poa sana..
Hivi ile ya ban yako ilitokana na nini?