Kiongozi usipoangalia nakunyang'anya mke aisee. Yester night kanitamkia kuwa ananipenda...! Sa sijui umepigwa buti ama vipi..! Btw...mchungaji amekuulizia leo.Mimi Ndio mmiliki wa hiyo malaika hotel kila siku weekend tuko hapo na mke wangu Khantwe kupata upepo wa ziwa na kutizama vimawimbi vya ziwa na kutembea ktk kibeach cha kutengeneza na bustani nzuuuri yetu...!
Tafuta sehemu ingine ndo umshawishi my wife.
kiwatengu hebu weka sawa hapa kwanza kabla usiku haujaingia
Hivi kipindi kile ni lift tu ulimpa?
Mi nikafikiria hadi nje ya box ati..
Hii ndoa ni yakulinda sana.
miss neddy tulia kwa utafiti uchepukaji wake ni mara chache sana
Ayyyyyaa mkuu nishamsahaulisha unaleta zile zile...
Kiongozi usipoangalia nakunyang'anya mke aisee. Yester night kanitamkia kuwa ananipenda...! Sa sijui umepigwa buti ama vipi..! Btw...mchungaji amekuulizia leo.
uliza kama msalani haendi, kama anajiona yuko tofauti na wale watoto wanaokufa somalia na darfu.
Hivi kipindi kile ni lift tu ulimpa?
Mi nikafikiria hadi nje ya box ati..
Hii ndoa ni yakulinda sana.
miss neddy tulia kwa utafiti uchepukaji wake ni mara chache sana
mmmmmmh nilikuwa banned
Usimsikilize huyo my dia shem alinipa lift tulivyotoka miss tz si unajua ilikua usiku sana nikaogopa kuchukua bajaj