Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
na mimi sijawaita kwa ajili yako
Sa si ungewaitia kwingine
na mimi sijawaita kwa ajili yako
sumu kwa mumeo....
na Ntuzu ni mchepuko wako?
Ooooh my God...! Ngoja niamke kwanza nahisi bado nna usingizi
hivi kwani hapo umeliona hili la kuchepukiana tu?
kiwatengu ivi ni sawa kweli kumwambia mke wangu mimi nna michepuko? Huoni kama huko ndani patakua padogo mkuu??
pawe padogo mara ngapi yaani katika watu nawaamini kiwatengu namba moja gazeti lake ni makini sana
Makini kuliko la shigongo eeh?
kiwatengu hebu weka sawa hapa kwanza kabla usiku haujaingia