Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

Asanteni sana kwa kuendelea kumuweka lissu kurasa za mbele even if ni kwa negative news be prepared Lissu atakuwa raisi wa Tz 2020
over my deadbody...labda rais wa chadema..akishampindua Mbowe..maana lengo lake si anautaka uenyekiti kisirisiri..mwenzake kang'amua akaona ni mara
 
..hapa chini ni nimenukuu toka andiko la Mh.Lissu akizungumzia CCTV camera.

..Mh.Lissu ni mwandishi mzuri, na ingekuwa ajabu kufanya kosa la kiuandishi kwa kudai CCTV zinazozungumziwa ni mali yake.

..JF imevamiwa na wapotoshaji wenye nia mbaya na Tundu Lissu.

Linafahamu aliyeamuru kamera ya CCTV iliyokuwepo kwenye jengo la makazi yangu iondolewe na wanafahamu ilikofichwa hadi sasa, kama haijaharibiwa ili kupoteza ushahidi.

Cc britanicca , Karne, Benny Haraba , Chakaza
 
Mkileta upumbavu humu mtarudishiwa upumbavu. Kama hamtaki tafuteni mtandao wa vichaa wenzenu Lumumba muone kama tutakuja. JF ilipositishwa mlishangilia, ilipirudishwa wa kwanza kupost upumbavu. Mello na wenzake wanajua wanachofanya na ndio maana hawana mawazo ya kike kama wewe na shoga zako. Statement ya Mello kuhusu Lissu inaonesha utu na kujali na siyo kejeli kama za genge lako ya kishenzi na kifedhuli linavyofanya. Mnampiga mti risasi halafu mnaleta threads za kipumbavu mkitegemea tutatwapamba? Hata CHADEMA wangempiga risasi Mwigulu nisingewasapoti hata siku moja. Siwezi kufurahia kifo cha mtanzania kwa sababu iwayo yote.
Hili povu ka la mtu aliyeachika
 
..hapa chini ni nimenukuu toka andiko la Mh.Lissu akizungumzia CCTV camera.

..Mh.Lissu ni mwandishi mzuri, na ingekuwa ajabu kufanya kosa la kiuandishi kwa kudai CCTV zinazozungumziwa ni mali yake.

..JF imevamiwa na wapotoshaji wenye nia mbaya na Tundu Lissu.

Cc britanicca , Karne, Benny Haraba , Chakaza
Labda lakin movie hii ina frustrate watu
 
Mkileta upumbavu humu mtarudishiwa upumbavu. Kama hamtaki tafuteni mtandao wa vichaa wenzenu Lumumba muone kama tutakuja. JF ilipositishwa mlishangilia, ilipirudishwa wa kwanza kupost upumbavu. Mello na wenzake wanajua wanachofanya na ndio maana hawana mawazo ya kike kama wewe na shoga zako. Statement ya Mello kuhusu Lissu inaonesha utu na kujali na siyo kejeli kama za genge lako ya kishenzi na kifedhuli linavyofanya. Mnampiga mti risasi halafu mnaleta threads za kipumbavu mkitegemea tutatwapamba? Hata CHADEMA wangempiga risasi Mwigulu nisingewasapoti hata siku moja. Siwezi kufurahia kifo cha mtanzania kwa sababu iwayo yote.
Mbona matusi?
 
Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.

Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.

Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.

Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.

Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.

R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Hivi kama huna hila wala unafiki,

Tuambie ni nani yuko frustrated kati ya Lissu na Jiwe anaekiri hadharani kuwa ana frustration, anakiri wazi kuwa ana kichaa juzi kaongezea kuwa anawazimu kabisa!..

Usingekuwa mnafiki, mjinga na uliyejaa hila ungekuwa unaandika kuhusu ni namna gani kama taifa tunakubali kuongozwa na mtu anayekiri hadharani kuwa anakichaa na anawazimu??!!!
 
Huna hata chembe ya huruma kwa yaliyompata Lissu.Nakuombea siku yoyote,ulengwe na bunduki ufyatuliwe risasi mbili tu halafu wanaokufahamu wabeze kujeruhiwa kwako huku ukishuhudia baadhi ya comments zao kabla ya Mungu au shetani kuingilia kati katika suala la uachwaji au utokaji wa roho yako.
 
..hapa chini ni nimenukuu toka andiko la Mh.Lissu akizungumzia CCTV camera.

..Mh.Lissu ni mwandishi mzuri, na ingekuwa ajabu kufanya kosa la kiuandishi kwa kudai CCTV zinazozungumziwa ni mali yake.

..JF imevamiwa na wapotoshaji wenye nia mbaya na Tundu Lissu.

Cc britanicca , Karne, Benny Haraba , Chakaza
Mkuu,asiyeelewa "jengo la makazi yangu" huyo kiumbe hawezi kuwa binadamu kamwe. Maneno yanaeleweka vyema kabisa hata kwa mtoto wangu wa grade 3!! Kweli nazidi kuamini kuna tatizo kubwa sana la kiakili nchini huko.
 
..ni kweli unavyosema.

..ni kweli tuna tatizo kubwa.

..na tatizo hilo linajidhihirisha kwa hawa ndugu zetu wanaotumia akili na vipaji vyao kumzulia na kumchafua Mh.Lissu, mtu aliyepatwa na mkasa mbaya wa kushambuliwa kigaidi.
 
Mungu akuponye Lissu. You are a good man who almost got killed for telling the truth! And if you know who did it tell the world while you are still there!
 
Back
Top Bottom