lakini si amewaeleza ukweli nyie mapoyoyo...eti Magufuli ndie aliyevunja mkataba..!!! khaaa..unajua dhambi nyingine za kutenda kimakusudu kama hizi walahi lazima zimrudie..unaweza kukuta badala ya kupona akabaki kuwa kilema yaani disabled kwa sababu tu ya kutunga uongo kwa Rais.kwanza mtu mwenyewe tayari ana laana ya marehem baba wa Taifa..halaf anaongeza mengine...dooo...atavuna hiki anachopandaKwani nilazima uanzishe maada? My friend think big achana na kuanzisha thread ilikujikimu na njaa yako au kupalilia cheo chako. Mnaboa sana.