Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

lakini si amewaeleza ukweli nyie mapoyoyo...eti Magufuli ndie aliyevunja mkataba..!!! khaaa..unajua dhambi nyingine za kutenda kimakusudu kama hizi walahi lazima zimrudie..unaweza kukuta badala ya kupona akabaki kuwa kilema yaani disabled kwa sababu tu ya kutunga uongo kwa Rais.kwanza mtu mwenyewe tayari ana laana ya marehem baba wa Taifa..halaf anaongeza mengine...dooo...atavuna hiki anachopanda
Acha [emoji90] [emoji90] [emoji90] hovyo mchana kweupe sokoni.
 
lakini si amewaeleza ukweli nyie mapoyoyo...eti Magufuli ndie aliyevunja mkataba..!!! khaaa..unajua dhambi nyingine za kutenda kimakusudu kama hizi walahi lazima zimrudie..unaweza kukuta badala ya kupona akabaki kuwa kilema yaani disabled kwa sababu tu ya kutunga uongo kwa Rais.kwanza mtu mwenyewe tayari ana laana ya marehem baba wa Taifa..halaf anaongeza mengine...dooo...atavuna hiki anachopanda
Wewe mwenyewe kama binadamu ni kilema mtarajiwa
 
Nilikuwa najiuliza sana,mbona Kalemani hajibu tuhuma za kuondoa CCTV cameras toka aanze kuhusishwa nazo? Jana tukataarifiwa tena kuwa. kumbe CCTV zilikuwa kwa Lisu mwenyewe.Muda utaongea yeye aendelee tu kujichanganya wala asisubirie kupona.
Punguza kupayuka payuka wewe poyoyo utakuja kuulizwa ushahidi utashindwa la kusema
 
Nilikuwa najiuliza sana,mbona Kalemani hajibu tuhuma za kuondoa CCTV cameras toka aanze kuhusishwa nazo? Jana tukataarifiwa tena kuwa. kumbe CCTV zilikuwa kwa Lisu mwenyewe.Muda utaongea yeye aendelee tu kujichanganya wala asisubirie kupona.
Ulikua darasa la nne mwaka jana labda.
CCTV zipo jengo moja lenye apartment mbili.

Huwa mnalishwa [emoji90] [emoji90] [emoji90] na chakubanga au inakuaje!
 
Pumzika kwa Amani Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema (Taifa) uliyekutwa umejinyonga katika Mazingira tatanishi.
Ukiona mtu mwenye akili za Musiba fahamu kwamba vyeti vimegoma na kubinjuka napo kumegoma, amebaki kuwa fungu la mchicha.

Vijana wa kuhemea tu.
 
Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.

Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.

Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.

Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.

Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.

R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Wewe ni dume la mbegu maana kwa kuuanika ukweli na kumsema TL hapa JF ni kijilipua au uingia katika zoo la Simba wenye njaa!
 
Una uhakika ananizidi? Kwa taarifa yako hanizidi kitu

HUNA LOLOTE ULIANZA KUDANGANYASAKATA LA DR. SHIKA NA KUJIFANYAUPO URUSSI, TUKAKUSHANGAA SANA WATU WENYE AKILI KWA MAELEZOYAKOYAUONGO. KWA KIFUPI HUNA UWEZO WA KUFANJYA UTAFITI WAHABARI NAKUZIJENGEA HOJA KAMA LISSU, PILIWEWE NDO UNAUDANGANYA UMAAKWAKUTUMIA NENO "HUKO TANZANIA" WAKATI KWA KARIBA YA MANENO YAKO UNAONEKANA UPO MAGOMENI TU HAPO.
 
lakini si amewaeleza ukweli nyie mapoyoyo...eti Magufuli ndie aliyevunja mkataba..!!! khaaa..unajua dhambi nyingine za kutenda kimakusudu kama hizi walahi lazima zimrudie..unaweza kukuta badala ya kupona akabaki kuwa kilema yaani disabled kwa sababu tu ya kutunga uongo kwa Rais.kwanza mtu mwenyewe tayari ana laana ya marehem baba wa Taifa..halaf anaongeza mengine...dooo...atavuna hiki anachopanda
Mtumeee
Hii ngumu kumeza walahi
 
Wewe ni dume la mbegu maana kwa kuuanika ukweli na kumsema TL hapa JF ni kijilipua au uingia katika zoo la Simba wenye njaa!
Kidume jamaa huyu, ameongea kweli tupu walahi !
 
Bado Korea kaskazini?
Wahaya wengine hata haya hawana
 
Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.

Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.

Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.

Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.

Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.

R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Unahangaika kumtetea shetani mda wote, sasa unajaribu kukusanya na matukio ya shetwani wengine ilimradi ufurahishe shetani wako. Iko siku utatoa hesabu ya unayoandika kuumiza upande unaoonewa. Labda unafaidika wewe ila watoto au ndugu iko siku watakua wahanga wa haya unayoshabikia who knows tomorrow?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom