Wacha utani mkuu!!!! Aaaaah! Embu funguka kidogo tafadhali.Ni kwamba camera za CCTV zilizotolewa siyo za kalemani ni za kwenye nyumba ya Lissu mwenyewe, kuna mchezo
Muda ni Mwalimu mzuri sana katika maisha ya binadamu.
Wacha utani mkuu!!!! Aaaaah! Embu funguka kidogo tafadhali.Ni kwamba camera za CCTV zilizotolewa siyo za kalemani ni za kwenye nyumba ya Lissu mwenyewe, kuna mchezo
Ndiyo mi ndo walewaleMimi nilikuwa nakuona mtu mwenye upeo, kumbe ni walewale tu!
Umeona mbali sana mkuu!Kuna watu shida yao siyo ccm wala raisi Magufuli shida ni kutaka madaraka hata kwa kuvunja amani ya nchi.
Ndiyo mi ndo walewale
Hivi hili la mlinzi wa Mh. Mbowe kukutwa kafa mbona halisiki tena ? Just thinking aloud !Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.
Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.
Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.
Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.
Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.
R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Muda utasemaHivi hili la mlinzi wa Mh. Mbowe kukutwa kafa mbona halisiki tena ? Just thinking aloud !
Hoja ya mcng ni hapo penye mungu,katu msimuingize Mungu kwenye mambo ya kijinga.Mungu hausiki na maigizo yenu ya risasi ya kivita iliyotoa risasi 38 na ikamuacha salama dereva huku lisu akiambulia majeraha na bado akabaki na faham zake timamu.Tumieni neno mungu lkn neno Mungu ni kufuru sana ktk huu ujingaWewe huna hata chembe ya aibu wala huruma kwa kiumbe mliye kusudia kumtoa uhai lkn mungu akawakatalia una muita majina ya hovyo kabisa,wewe ni sawa na shetani au mbwa koko tu
Kazi ya polisi ni kuhakikisha Kunakuwepo na ushahidi, Wahusika wakamatwe, wafunguliwe mashtaka then wahukumiwe. Haya mengine yote ya sijui kamera Zipo wapi, zimeokotwa, zilifunguliwa then zikafungwa sijui Zipo kwa lisu na mengine yanayofanana na hayo ni maigizo ya siasa sizizo na msingi. Muarubaini wa maigizo yote haya ni ushahidi upatikane, kesi ifunguliwe mtu ahukumiwe. Hata huyo mnayemuita mgonjwa hoja zake hazitakuwa na nguvu sana endapo hili likitokea.Nilikuwa najiuliza sana,mbona Kalemani hajibu tuhuma za kuondoa CCTV cameras toka aanze kuhusishwa nazo? Jana tukataarifiwa tena kuwa. kumbe CCTV zilikuwa kwa Lisu mwenyewe.Muda utaongea yeye aendelee tu kujichanganya wala asisubirie kupona.
Tumuombee apone haraka arudi kushiriki harakati za kisiasa na chama chake kikiridhia basi awe mgombea urais hiyo 2020. Hiyo ndio demokrasia ila sijui ndani ya chama chake hua kuna utaratibu gani wa kupata wagombea hasa kwa nafasi kubwa hiyo ya uraisAsanteni sana kwa kuendelea kumuweka lissu kurasa za mbele even if ni kwa negative news be prepared Lissu atakuwa raisi wa Tz 2020
Lowassa anagombeaTumuombee apone haraka arudi kushiriki harakati za kisiasa na chama chake kikiridhia basi awe mgombea urais hiyo 2020. Hiyo ndio demokrasia ila sijui ndani ya chama chake hua kuna utaratibu gani wa kupata wagombea hasa kwa nafasi kubwa hiyo ya urais
Una uhakika ananizidi? Kwa taarifa yako hanizidi kitu
Uchunguzi upi huo?Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.
Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.
Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.
Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.
Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.
R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Swafiiii sana!
Maana yeye yuko under influence!
Painkillers ni ulevi wa hali ya juu!
OxyContin ni shughuli walahi!
Kakuzidi mara elfu.Una uhakika ananizidi? Kwa taarifa yako hanizidi kitu
Dogo una matatizo unajitia ujuaji, wakati huna unachokijua, mkataba uluvunjwa mwaka 2003/2004, kesi iliunguruma mwaka 2008/2009. Hays tuambie wakati ule nani alikuwa waziri wasujenziNaamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.
Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.
Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.
Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.
Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.
R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Huenda hizi ID zinatumiwa na watu tofauti, Britannica ninayemjua siyo huyu, amekuwa kichaa, mshenzi kama baba yake jiweMimi nilikuwa nakuona mtu mwenye upeo, kumbe ni walewale tu!
Hahahahah Hii movie kuna watu wanakimbia ID zao humu.Nilikuwa najiuliza sana,mbona Kalemani hajibu tuhuma za kuondoa CCTV cameras toka aanze kuhusishwa nazo? Jana tukataarifiwa tena kuwa. kumbe CCTV zilikuwa kwa Lisu mwenyewe.Muda utaongea yeye aendelee tu kujichanganya wala asisubirie kupona.