Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

Lissu yuko frustrated tumuache apone kwanza

tatizo unajifanya unajua kumbe mtupu tu
 
lakini si amewaeleza ukweli nyie mapoyoyo...eti Magufuli ndie aliyevunja mkataba..!!! khaaa..unajua dhambi nyingine za kutenda kimakusudu kama hizi walahi lazima zimrudie..unaweza kukuta badala ya kupona akabaki kuwa kilema yaani disabled kwa sababu tu ya kutunga uongo kwa Rais.kwanza mtu mwenyewe tayari ana laana ya marehem baba wa Taifa..halaf anaongeza mengine...dooo...atavuna hiki anachopanda
Baba wa Taifa alitoa hiyo laana wakati gani. Tunahitaji akili kubwa kujadili mambo makubwa na sikubwabwajatu ilimradi mkono uende kinywani. Tujenge hoja katika misingi iliyo chanya. Sasa kila Mara polojo zileziletu tunageuzwageuzwatu sijui tulienda shule kufanyanini sasa. Tuisaidie jamii yetu jamani tutakuja kujilaumu. Majuto ni mjukuu
 
Wauaji baada ya kukosa fursa ya kushangilia kifo chake, sasa wanajipoza kwa furaha ya kushangilia maumivu yake!

Once a killer, always a killer!
 
Una uhakika ananizidi? Kwa taarifa yako hanizidi kitu
Kama Lissu hakuzidi basi wewe ndiye uliyemshuti. Unajaribu kutafuta huruma ambayo watanzania wenye akili hawawezi kukupa. Sikutofautishi na "Kichaa" aliyejitambulisha Ukerewe juzi maana siku nyingine unakuwa na akili, lakini ghafla kesho yake unakuwa Zzzzz Kama Leo!!
 
Mkuu mimi naheshimu maoni yako kabisa...ni kweli Lissu bado ni mgonjwa tumuombee apone.
Maombi ya Wauaji hayawezi kupokelewa na Mungu. Acha kupoteza muda wako, wewe na genge lako katafuteni mtanzania mwingine wa kupiga rirasi maana bado tuko wengi.
 
ukiwa mtu muhimu lazima watu wakujue...hata daktari bingwa muhimbili anajulika ...MTU wa ajabu mamako alikuzaa kupitia mlango wa nyuma
Ndio mlivyofundishwa watu huzaliwa mqunduni, jinsi ulivyo jitu la ajabu.
 
Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.

Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.

Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.

Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.

Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.

R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Duuu mna kazi sana ,nakumbuka Mungu akimuulza kaini yuko wap ndugu yako Abel? ....damu yake inanililia kutoka ardhin!!!! Shida na tabu alizopata kaini naona kuna watu wanazpata humu ndani kwa uovu wao wa kuua na majaribio ya kuua!!! R.I.P saa 8,mawazo na ndugu wote wa Kibiti lissu upone haraka urudi
 
Ni kwamba camera za CCTV zilizotolewa siyo za kalemani ni za kwenye nyumba ya Lissu mwenyewe, kuna mchezo

..usimpotoshe Karne.

..Dr.Kalemani na Mh.Lissu wanaishi ktk flat moja.

.Mh.Lissu anaishi gorofa ya juu.

..Dr.Kalemani anaishi ground floor.

..CCTV zilikuwa installed kwa Dr.Kalemani ambapo ni ground floor na yuko karibu na parking lot aliposhambuliwa Mh.Lissu.

..Mh.Lissu alikosea kwa kutokueleza CCTV zilikuwa mali ya nani. Na alipaswa kueleza zilikuwa installed ktk jengo/flat na siyo nyumba anayoishi.
 
Lissu alishakwambia tatizo lake kwa sasa ni mguu wake si akili ya kichwani

. Yeye ni mzima kiakili na uwezo wake wa kujenga hoja ni uleule kama ulivyomsikia live au kwa maandishi.

Hivyo wewe acha upotoshaji kuwa ana msongo wa mawazo. Unachopaswa ni kujibu hoja zake.
 
Hahaha aisee
 
..usimpotoshe Karne.

..Dr.Kalemani na Mh.Lissu wanaishi ktk flat moja.

.Mh.Lissu anaishi gorofa ya juu.

..Dr.Kalemani anaishi ground floor.

..CCTV zilikuwa installed kwa Dr.Kalemani ambapo ni ground floor na yuko karibu na parking lot aliposhambuliwa Mh.Lissu.

..Mh.Lissu alikosea kwa kutokueleza CCTV zilikuwa mali ya nani. Na alipaswa kueleza zilikuwa installed ktk jengo/flat na siyo nyumba anayoishi.
Asante kwa Taarifa
 
Mkileta upumbavu humu mtarudishiwa upumbavu. Kama hamtaki tafuteni mtandao wa vichaa wenzenu Lumumba muone kama tutakuja. JF ilipositishwa mlishangilia, ilipirudishwa wa kwanza kupost upumbavu. Mello na wenzake wanajua wanachofanya na ndio maana hawana mawazo ya kike kama wewe na shoga zako. Statement ya Mello kuhusu Lissu inaonesha utu na kujali na siyo kejeli kama za genge lako ya kishenzi na kifedhuli linavyofanya. Mnampiga mti risasi halafu mnaleta threads za kipumbavu mkitegemea tutatwapamba? Hata CHADEMA wangempiga risasi Mwigulu nisingewasapoti hata siku moja. Siwezi kufurahia kifo cha mtanzania kwa sababu iwayo yote.
Hizi ni hasira za kutorokwa na Danga asubuhi bila acha kuachiwa hela ya supu ya makongoro. Pole sana dada!
 
Naamini Lissu ni mtu muhimu kwa kutetea wananchi wanyonge tumeona Mara kadhaa anaenda mahakamani hata bila malipo kuwatetea walioonewa au kubambikiwa kesi.

Lakini kwa sasa naona anajuta kuzidiwa mbinu na Kyagulanyi Ssentamu kuweza kuitisha conference ya kimataifa na kuishtaki Serikali ya Museveni.

Nikajiuliza hivi Lissu kwanini naye hasiite wanahabari wa kimataifa akayaanika hayo mabaya aliyofanyiwa na Serikali, lakin jibu la haraka nikajua the guy is just suspecting ,hana chochote cha ku prove kwamba Serikali ndio wamempiga risasi.

Lakini mbaya zaidi Lissu kupitia waraka wake wa Jana anaendelea kudanganya hasa watanzania wajinga kwamba kutokana na kupiga kelele juu ya ndege iliyokamatwa Canada kwa sababu ya deni ambalo kasababisha Magufuli kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara akiwa waziri wa ujenzi, hapo ndipo nikaona mheshimiwa bado anahitaji kuendelea na matibabu, Kipindi hicho aliyevunja mkataba hakuwa Magufuli, maana hakuwa waziri wa ujenzi, alikuwa waziri wa uvuvi, Sasa Lissu anazidi kiwadanganya mapoyoyo wa hapo Tanzania na kushangilia.

Pili si kweli kwamba ana uhakika kwamba Serikali inahusika, hivo aache kutoa hukumu mapema kabla ya uchunguzi kumalizika, hili halipiti hivi hivi.

R.I.P mlinzi wa Mbowe ambaye ulikutwa umekufa kwa mazingira ya kutatanisha
Jiwe ndio mgonjwa 200% ni zaidi ya chizi fresh,liko wazi hilo hata juzi katamka hadharani yeye ni kichaa kabisa,uzuri kua anajitambua ni kichaa hata mdogo wake nae kichaa uliza yeyote chattle anajua hilo,pole sana ccm kutawaliwa na kichaa ni nomaa sana,
Iko siku ataenda atajiona rambo na kuchukua smg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom