Lissu: Wanaotaka kuondoka CHADEMA ruksa

Lissu: Wanaotaka kuondoka CHADEMA ruksa

Ktk maneno aloyaongea nikamueleaa ni Leo Tundu lissu ameongea maneno yaliyokamilika... Big up
 
Ukiona mtu anataka kurudi ccm ujue alikuwa mamluki sio kingine.
 
Huh! Bado maswali ni mengi majibu mepesii, sijaridhika, na kwahili sitaridhika kwa kuwa mifumo yote itaanguka ikiwemo iliomo ndani ya cdm, kwakua yaweza kutokea kuna wasioridhika, mzee unapasua mfumo bila athari kukutokea na iwe pana haja ya msingi ya kuongeza credit sio kupasua na kuleta negative effects
 
Sawa bakini na chama chenu,

Lakin Lissu kaa ukijua kile ni chama cha kina Mbowe na jana alisema tena usijione umefika
Kwa hiyo zile mil 300+ alizosema Slaa pia alishawajibika?
 
Lowassa kajiunga na UKAWA kwa kupitia chama cha Chadema.

Kungelikuwana sheria ya kugombea bila chama, ingelikuwa njema zaidi.

Ukawa ni dalili nzuri za kuja kuruhusu Wagombea wasio nq chama.....
 
Hizi taarifa mimi nlikua nazo toka asubuhi dhidi ya msimamo wa LISSU,but maCCM na propaganda zao!
 
Sijuwi nimemfahamu Lissu au vipi, inamana Lowassa atakuwa rais wa Ukawa??? itakuwaje kwenye kampeni ccm wakileta documents japo za kughushi kuhusu ufisadi kwa Lowassa?? na je Ukawa itapambana vipi na ufisadi ilhali Rais atakayesimamishwa kama ni Lowassa alishawahi kunaswa na harufu ya ufisadi?

Ukawa itakuwa na nguvu gani kupambana na hili na vipi bungeni wataweza kusimama tena kupinga ufisadi? Lissu ningependa zaidi angeogelea kwenye haya.
 
TUNDU-LISSU-SEP-06-620x307.jpg

MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.

Lissu ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kwamba wapo wanachama wa Chadema ambao watakihama chama hicho kutokana na kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya Chadema.

Akizungumza leo na waandishi wa habari Lissu amesema, “Kama wapo watakao jiondoa Chadema, wengi zaidi watakuja. Tupo katika kipindi ambacho hatujawahi kuwepo tangu mfumo wa vyama vingi uanze.

Mfumo tawala unabomoka vipande vipande. Unapo bomoka, dalili zake ni watu ambao wamekuwa katika mfumo huo kuondoka kama alivyofanya Lowassa.”

“Mabadiliko katika nchi yanatokea pale mfumo tawala unapo pasuka. Lowassa ni mfano mzuri.

Tunamkaribisha kwetu sio kwa sababu ni mwanasiasa msafi. Tumempokea kwa sababu tunaongeza nguvu kubwa kwa wale wanaotaka mabadiliko. Imetokea Zambia Mawawi, Nigeria na Kenya,” amesema Lissu.

Akizungumza kuhusu Chadema kumtuhumu Lowassa kwamba “ni fisadi” kabla ya kujiunga na chama hicho Lissu amesema, “…hatukuwa na makosa hata kido kumweka Lowassa katika kundi la watuhumiwa wa Richmond. Mambo yalizungumzwa bungeni. Aliwajibika na amesema mwenyewe aliwajibika.”

“Alijiuzuru uwaziri mkuu kwa sababu ya Richmond. Tulimweka katika orodha ya mafisadi kwa sababu ya Richmond. Na jana alisema alimwambia rais “tuvunje mkataba” rais akaataa. Angefanyeje?. hilo ni vumbi, litakapo tulia Chama Cha Mapinduzi na mfumo tawala utakuwa umeanguka, tutajenga nchini.Bila kuvunja mfumo tawala hakuna kusonga mbele,” ameeleza Lissu.
List of shame ilitoka baada au kabla ya kashifa ya Richmond?
 
Safi sana kuondoa taarifa za kizushi kuwa huungi mkono ujio wa Lowasa, wakati ndio huu kuungana Lissu wala msije mkawa kama Zitto.
 
TUNDU-LISSU-SEP-06-620x307.jpg

MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.

Lissu ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kwamba wapo wanachama wa Chadema ambao watakihama chama hicho kutokana na kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya Chadema.

Akizungumza leo na waandishi wa habari Lissu amesema, "Kama wapo watakao jiondoa Chadema, wengi zaidi watakuja. Tupo katika kipindi ambacho hatujawahi kuwepo tangu mfumo wa vyama vingi uanze.

Mfumo tawala unabomoka vipande vipande. Unapo bomoka, dalili zake ni watu ambao wamekuwa katika mfumo huo kuondoka kama alivyofanya Lowassa."

"Mabadiliko katika nchi yanatokea pale mfumo tawala unapo pasuka. Lowassa ni mfano mzuri.

Tunamkaribisha kwetu sio kwa sababu ni mwanasiasa msafi. Tumempokea kwa sababu tunaongeza nguvu kubwa kwa wale wanaotaka mabadiliko. Imetokea Zambia Mawawi, Nigeria na Kenya," amesema Lissu.

Akizungumza kuhusu Chadema kumtuhumu Lowassa kwamba "ni fisadi" kabla ya kujiunga na chama hicho Lissu amesema, "…hatukuwa na makosa hata kido kumweka Lowassa katika kundi la watuhumiwa wa Richmond. Mambo yalizungumzwa bungeni. Aliwajibika na amesema mwenyewe aliwajibika."

"Alijiuzuru uwaziri mkuu kwa sababu ya Richmond. Tulimweka katika orodha ya mafisadi kwa sababu ya Richmond. Na jana alisema alimwambia rais "tuvunje mkataba" rais akaataa. Angefanyeje?. hilo ni vumbi, litakapo tulia Chama Cha Mapinduzi na mfumo tawala utakuwa umeanguka, tutajenga nchini.Bila kuvunja mfumo tawala hakuna kusonga mbele," ameeleza Lissu.

Sijuwi nimemfahamu Lissu au vipi, inamana Lowassa atakuwa rais wa Ukawa??? itakuwaje kwenye kampeni ccm wakileta documents japo za kughushi kuhusu ufisadi kwa Lowassa?? na je Ukawa itapambana vipi na ufisadi ilhali Rais atakayesimamishwa kama ni Lowassa alishawahi kunaswa na harufu ya ufisadi?

Ukawa itakuwa na nguvu gani kupambana na hili na vipi bungeni wataweza kusimama tena kupinga ufisadi? Lissu ningependa zaidi angeogelea kwenye haya.
 
Wakati ccm inabomoa mfumo mliokuwa mnaulalamikia cdm na washirika wake mnaujenga tena huo mfumo kupitia kwa hao hao waliokuwa wajensi wa mfumo kandamizi, Mh lisu hata cc tunaijuwa siasa ingawa hatuna majukwaa kama ww , SHAME. OF LISSU
 
TUNDU-LISSU-SEP-06-620x307.jpg

MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.

Lissu ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kwamba wapo wanachama wa Chadema ambao watakihama chama hicho kutokana na kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya Chadema.

Akizungumza leo na waandishi wa habari Lissu amesema, “Kama wapo watakao jiondoa Chadema, wengi zaidi watakuja. Tupo katika kipindi ambacho hatujawahi kuwepo tangu mfumo wa vyama vingi uanze.

Mfumo tawala unabomoka vipande vipande. Unapo bomoka, dalili zake ni watu ambao wamekuwa katika mfumo huo kuondoka kama alivyofanya Lowassa.”

“Mabadiliko katika nchi yanatokea pale mfumo tawala unapo pasuka. Lowassa ni mfano mzuri.

Tunamkaribisha kwetu sio kwa sababu ni mwanasiasa msafi. Tumempokea kwa sababu tunaongeza nguvu kubwa kwa wale wanaotaka mabadiliko. Imetokea Zambia Mawawi, Nigeria na Kenya,” amesema Lissu.

Akizungumza kuhusu Chadema kumtuhumu Lowassa kwamba “ni fisadi” kabla ya kujiunga na chama hicho Lissu amesema, “…hatukuwa na makosa hata kido kumweka Lowassa katika kundi la watuhumiwa wa Richmond. Mambo yalizungumzwa bungeni. Aliwajibika na amesema mwenyewe aliwajibika.”

“Alijiuzuru uwaziri mkuu kwa sababu ya Richmond. Tulimweka katika orodha ya mafisadi kwa sababu ya Richmond. Na jana alisema alimwambia rais “tuvunje mkataba” rais akaataa. Angefanyeje?. hilo ni vumbi, litakapo tulia Chama Cha Mapinduzi na mfumo tawala utakuwa umeanguka, tutajenga nchini.Bila kuvunja mfumo tawala hakuna kusonga mbele,” ameeleza Lissu.

Ngoja nikatoe lock sasa maana...! Walikuwa wameshavumisha mengi mno
 
Back
Top Bottom