angekuwa na nia ya dhati angeyasema haya mapema.. tafuteni sababu nyingine...
mie nawatakia kila lakheri kwenye safari yenu ya matumaini... nitakuwa sehemu ya mabadiliko kwa namna nyingine.. sio kila kitu nishabikie maana tumeembiwa wengine nikinani wakati maprof madr wabunge ,kamati kuu wanajua zaidi wameshakubali wengine ni kinani kupinga huu uamuzi muhimu ni kukaa kando kutizama mchezo tu..wenye chama washaa amua...
haaa timu Magufuli, ccm bana wanajifanya CHADEMAok sawa naondoka maana hakuna aliyenilazimisha kuwepo ni maamuzi yangu sifungwi..
Wewe wachakumshirikisha mungu Na mjinga
Wewe wachakumshirikisha mungu Na mjinga
Sijuwi nimemfahamu Lissu au vipi, inamana Lowassa atakuwa rais wa Ukawa??? itakuwaje kwenye kampeni ccm wakileta documents japo za kughushi kuhusu ufisadi kwa Lowassa?? na je Ukawa itapambana vipi na ufisadi ilhali Rais atakayesimamishwa kama ni Lowassa alishawahi kunaswa na harufu ya ufisadi?
Ukawa itakuwa na nguvu gani kupambana na hili na vipi bungeni wataweza kusimama tena kupinga ufisadi? Lissu ningependa zaidi angeogelea kwenye haya.
Ondoka tu ndugu kwani hakuna namna nyingine, utauachaje mtaji mkubwa kiasi hicho? Mabadiliko ni hatua. Huo ni uhuru wako lakini ukirudi CCM utakuwa umepoteza zaidi.
Wewe wachakumshirikisha mungu Na mjinga
Sijuwi nimemfahamu Lissu au vipi, inamana Lowassa atakuwa rais wa Ukawa??? itakuwaje kwenye kampeni ccm wakileta documents japo za kughushi kuhusu ufisadi kwa Lowassa?? na je Ukawa itapambana vipi na ufisadi ilhali Rais atakayesimamishwa kama ni Lowassa alishawahi kunaswa na harufu ya ufisadi?
Ukawa itakuwa na nguvu gani kupambana na hili na vipi bungeni wataweza kusimama tena kupinga ufisadi? Lissu ningependa zaidi angeogelea kwenye haya.
![]()
MBUNGE wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na chama hicho.
Lissu ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kwamba wapo wanachama wa Chadema ambao watakihama chama hicho kutokana na kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya Chadema.
Akizungumza leo na waandishi wa habari Lissu amesema, Kama wapo watakao jiondoa Chadema, wengi zaidi watakuja. Tupo katika kipindi ambacho hatujawahi kuwepo tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Mfumo tawala unabomoka vipande vipande. Unapo bomoka, dalili zake ni watu ambao wamekuwa katika mfumo huo kuondoka kama alivyofanya Lowassa.
Mabadiliko katika nchi yanatokea pale mfumo tawala unapo pasuka. Lowassa ni mfano mzuri.
Tunamkaribisha kwetu sio kwa sababu ni mwanasiasa msafi. Tumempokea kwa sababu tunaongeza nguvu kubwa kwa wale wanaotaka mabadiliko. Imetokea Zambia Mawawi, Nigeria na Kenya, amesema Lissu.
Akizungumza kuhusu Chadema kumtuhumu Lowassa kwamba ni fisadi kabla ya kujiunga na chama hicho Lissu amesema, hatukuwa na makosa hata kido kumweka Lowassa katika kundi la watuhumiwa wa Richmond. Mambo yalizungumzwa bungeni. Aliwajibika na amesema mwenyewe aliwajibika.
Alijiuzuru uwaziri mkuu kwa sababu ya Richmond. Tulimweka katika orodha ya mafisadi kwa sababu ya Richmond. Na jana alisema alimwambia rais tuvunje mkataba rais akaataa. Angefanyeje?. hilo ni vumbi, litakapo tulia Chama Cha Mapinduzi na mfumo tawala utakuwa umeanguka, tutajenga nchini.Bila kuvunja mfumo tawala hakuna kusonga mbele, ameeleza Lissu.
Sawa bakini na chama chenu,
Lakin Lissu kaa ukijua kile ni chama cha kina Mbowe na jana alisema tena usijione umefika
Kwa hiyo zile mil 300+ alizosema Slaa pia alishawajibika?
Hakika ni upuuzi mkubwa.