ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,305
Ameshakuagiza,hivyo wewe tekeleza tu.
Mkuu niambie inakukumbushaga nini....Msambwata bwana, hiyo avatar yako huwa inanikumbusha mengi sana na hako ka Dada!
Twakutakia afya njema ndugu yetu TLS=Tundu Lissu Shujaa.. Mungu akujaliie UPONYI wa haraka..Lissu The Great .
Hapajawahi duniani kutokea usaliti usio na thamani ya pesa au wapesa yenyewe.Ni vzri kukiri kuwa ndani ya chama kuna wasaliti kuliko muda wote kufikiri ni manunuzi tu...wasaliti Wamo, na msaliti siyo lazima umnunue..
Kukiri hivyo ni kama kukiri kwamba bado chama hakijawa tayari kushika madaraka ya hii nchi, kma watu wake wanaweza kununuliwa kwa pesa wataiongozaje nchi sasa?Hapajawahi duniani kutokea usaliti usio na thamani ya pesa au wapesa yenyewe.
Hivyo kukiri kuwa kuna wasaliti ni sawa na kusema wananunuliwa.
Hivi chadema nyie ndio mmekuwa mboga kiasi hiki? [emoji28][emoji28][emoji28] yani kwamba sasa na ninyi mnafika bei? Alafu sasa mnakuja kulilia hapa kwamba mnafika bei bila aibu?
Najiuliza tu, mngepewa nchi ingekuwaje? Maana hao mnaosema wamenunuliwa ndio wamgekuwa mawaziri wenu hao! Ndio ambao wangekuwa wawakilishi wa rasilimali zetu dhidi ya mabepari, sasa ingekuwaje?
Wanaume wazima mnalia kununuliwa kweli bila aibu?