Aibu kama mnanunuliwa INA maana mnajiuza!!?Hivi chadema nyie ndio mmekuwa mboga kiasi hiki? [emoji28][emoji28][emoji28] yani kwamba sasa na ninyi mnafika bei? Alafu sasa mnakuja kulilia hapa kwamba mnafika bei bila aibu?
Najiuliza tu, mngepewa nchi ingekuwaje? Maana hao mnaosema wamenunuliwa ndio wamgekuwa mawaziri wenu hao! Ndio ambao wangekuwa wawakilishi wa rasilimali zetu dhidi ya mabepari, sasa ingekuwaje?
Wanaume wazima mnalia kununuliwa kweli bila aibu?