Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,701
Na kweli kazi tu, sukari kilo 3000+Nyumbu hamtumbui nyie endeleen na taarabu zenu sie kwetu kaz tu
Na kweli kazi tu, sukari kilo 3000+Nyumbu hamtumbui nyie endeleen na taarabu zenu sie kwetu kaz tu
Na kweli amebana kila kona kuanzia democracy mpaka uchumi wa masikini,na bahati nzuri hata wewe utaipata freshi tuHa ha ha, unamshindaje, wakati JPM sio mtu wa Ahadi ni utekelezaji tu.. Na amewabana kila kona
Kwa hiyo hizo social media zipo kwa ajili ya UKAWA tu nyinyi haziwahusu? Kwenu mikutano halali (rejea ile ya Singida na Mwanza ambayo haikuonwa na Intelejesia ya polisi) kwa wengine waende social mediaDunia ya Leo yenye sociKwenuidia like Facebook, WhatsApp, Jamii forum, magazeti kibao, redio kibao siyo lzm uandamane au kufanya mkutano ndio ufikishe ujumbe kwa jamii.
Unaweza kuongea kwenye redio tu kila MTU akasikia ujumbe wako.
UKAWA kuweni wabunifu
Hoja iliyopo mezani ni "RAIS AMESHINDWA"wanaosema rais ameshindwa wao wameweza lipi??huyo lissu inamaana yote aliyoahidi katekeleza??
Tizama Moshi sukari ya TPC imeshaingia sokoni bei shs. 2200 nimenunua janasukari saivi 3000
maisha mtaanu yamekua magumu
hakuna ajira Mpya wala nyongeza ya mishahara
kuua demokrasia
bunge live
udom scandal
bomoabomoa
ngoja niachie tu HP simalizi
Mbona Lisu ameshindwa ubunge na ameshindwa uwakili lakini bado anafungua domo kumdhihaki Rais? wivu wa kikeNaunga mkono hoja magufuli nchi imemshinda aachie ngazi mara moja
Wajenge ofisi Kali Kama ile ya Makonda Lakini washinde kwenye TV kuombaomba madawati???Hizo hela za kufanyia maandamano ,nawashauri chagadema wajenge ofisi yenye hadhi ya chama kikuu cha upinzani nchini.
Hii tabia ya kuandamanisha watoto wa wenzenu na kuwashindisha juani ikome Mara moja. @ Nyumbu
Kusema ukweli sijui Magufuli anafanya nini Ikulu.
Yani amekuwa mzigo wa ziada kwenye matatizo ya watanzania.
Taifa lina taharuki, limegawanyika na yeye kauli zake ndio kwanza hazieleweki!
Chanzo cha habari yako ndio shida
Afanye kazi gani?Ukisha maliza kuorodhesha
Kafanye kazi
Sasa habari kama hii ina mchango gani hapa JF!