REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Alikuwa hauwezi tokea mwanzoadai atafute shughuli nyingine
chanzo: Tanzania daima
Alikuwa hauwezi tokea mwanzoadai atafute shughuli nyingine
chanzo: Tanzania daima
adai atafute shughuli nyingine
chanzo: Tanzania daima
Tatizo ni hizo figisu figusu za polisi kuminya demokrasia.Mikutano ya CCM ruksa ila ya UKAWA ni mwiko.Magufuli yupo vizuri sana katika uongozi. Yeye anafanya kwa vitendo zaidi. Ndani ya kipindi kifupi tu tangu kuingia madarakani ametekeleza ahadi nyingi. KUMHUKUMU RAIS KWA SASA KUWA AMESHINDWA NI UPUUZI MTUPU KWANI KIPINDI CHAKE CHA KUONGOZA MUHULA MMOJA NI MIAKA MITANO.
Ile ilikuwa season 1. Ishapita tayari na hakuna repeat. Tusubiri season 2 itakuja na plot gani. Hapa ni mwendo wa maigizo mwanzo mwisho. Kuna kina Kigwangala kusimama getini wizarani asubuhi na mapema na register kufanya roll call halafu baada ya hapo kimya, kuja kumsikia tena ni pale alipomtetea Lady Jd kutukanwa na Gardner pamoja na kujibizana na Diva twitter. Those are our TZ leaders, having our best interest at heart like settling love feuds between artists.Nimemiss sana kusikia PM na Mkuu wa Kaya wakitumbua majipu...
Maana utumbuaji umekua wa kusua sua now days...
Yote ni machungu ya reform kaa mkao wasukari saivi 3000
maisha mtaanu yamekua magumu
hakuna ajira Mpya wala nyongeza ya mishahara
kuua demokrasia
bunge live
udom scandal
bomoabomoa
ngoja niachie tu HP simalizi
Sukari unanunua shilingi ngapo huko kwenuMbona yeye ubunge umemshinda
Magufuli goooo tupo tunakuombea
Its a sad fact...sukari saivi 3000
maisha mtaanu yamekua magumu
hakuna ajira Mpya wala nyongeza ya mishahara
kuua demokrasia
bunge live
udom scandal
bomoabomoa
ngoja niachie tu HP simalizi
Mzigo mzito sana kabebeshwa
Dunia ya Leo yenye social media like Facebook, WhatsApp, Jamii forum, magazeti kibao, redio kibao siyo lzm uandamane au kufanya mkutano ndio ufikishe ujumbe kwa jamii.
Unaweza kuongea kwenye redio tu kila MTU akasikia ujumbe wako.
UKAWA kuweni wabunifu
Ikiwemo ile ahadi ya kuuza sukari kwa bei elekezi TZS 1800 au siyo?Magufuli yupo vizuri sana katika uongozi. Yeye anafanya kwa vitendo zaidi. Ndani ya kipindi kifupi tu tangu kuingia madarakani ametekeleza ahadi nyingi. KUMHUKUMU RAIS KWA SASA KUWA AMESHINDWA NI UPUUZI MTUPU KWANI KIPINDI CHAKE CHA KUONGOZA MUHULA MMOJA NI MIAKA MITANO.
Kawabana wanyonge na wala siyo wabunge wa Ukawa jaribu kuwa na uelewa hata kidogo.Ha ha ha, unamshindaje, wakati JPM sio mtu wa Ahadi ni utekelezaji tu.. Na amewabana kila kona