Lissu: Urais umemshinda Magufuli

Lissu: Urais umemshinda Magufuli

Wewe unasema Rais ana kauli gani?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!! I am sure unalo tatizo kubwa la uelewa...Nyie vijana wa siku hizi sijui mna matatizo gani....sitaki mjadala na wewe, mimi ni mtu mzima, and I have got a family...
mkuu samahani kama nimekukwaza, tunahitaji watu wazima hapa, ila hapo juu nimekutajia kauli ambazo rais ameshawahi kuzisema,

halafu jaribu kulinganisha na kauli ya Lissu uniambie ipi ni ya kihuni na ipi siyo ya kihuni,

mtu kusema urais umemshinda ni kauli ya kisiasa hiyo na kama unafuatilia siasa za nje ya Tanzania utaona ni kauli ambayo marais wengi wanaambiwa, na ni acceptable, sasa unaposema ni ya kihuni sijakuelewa nifafanulie
 
lissu hata ubunge umemshinda kazi yake kupiga ngumi madeski bungeni hadi karibu kuvunja. ovyooooh....magufuli ndio yuko mujini sasa wanyonyaji ndio wanatimka kujificha huku wamehamaki kichizi. viva camarada magufuli, a vitoria é certa, vinceremos.
 
Wewe unasema Rais ana kauli gani?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!! I am sure unalo tatizo kubwa la uelewa...Nyie vijana wa siku hizi sijui mna matatizo gani....sitaki mjadala na wewe, mimi ni mtu mzima, and I have got a family...

Sasa kama hutaki mjadala naye si ungekaa kimya? Au utu uzima wako haukuelekezi namna bora ya kukataa mjadala ni kutoushiriki?
 
Anapuyanga sana. Urais ni kazi inayohitaji hekima, busara na ustahimilivu wa kisiasa wa kukubali kukosorewa, kwa Bahati mbaya Magufuli hana sifa hizo.
 
katika watu wanaonitia hasira ni pamoja na mheshimiwa lissu!!yeye anaweza lipi ikiwa alisema kuwa kwenye list ya mafisadi lowassa yupo lakini baadae alikuja kuikana?mwanasheria mzima unapublish wrong data that shall be read all over the world??
Alisema hivi "Wenje akishindwa kesi ya ubunge najiuzuru ubunge" Lisu
 
Lisu Hana jipya wameshauza chama na walio wauzia mdio walewale waliokuwa wakiwatukana chama kinaenda pasuka. Ujinga huu kumwambia mtu kashindwa wakati wew Una F mwenzio Ana A*
 
Lissu amesema ukweli magufuli hana maono kabisa yakutawala nchi hii
 
Naamini angeachana na uchama mbele angeweza ila ukulu umekua mgumu zaidi ya alivyofikiria. Hana uvumilivu. Majipu yamemzunguka kila upande. Kuendesha nchi sio kama kuendesha familia.
 
Dunia ya Leo yenye social media like Facebook, WhatsApp, Jamii forum, magazeti kibao, redio kibao siyo lzm uandamane au kufanya mkutano ndio ufikishe ujumbe kwa jamii.

Unaweza kuongea kwenye redio tu kila MTU akasikia ujumbe wako.

UKAWA kuweni wabunifu
Hawa jamaa ni one way drive tu! Hawana ka-ubunifu hata kidogo. Wanataka mikutano ya hadhara tu ili wapate fursa ya kupiga pesa za ruzuku.
 
Sasa hivi mimi nimegundua ili niishi kwa usalama nitakuwa namsifia tu kwa kila kitu
Tena wale wasanii wetu watutungie nyimbo za kumsifu mhishimiwa sana tuzicheze majumbani na barabarani kwenye magari ili iwe kama hirizi ya kinga kama enzi za akina mobutu
 
ila kila mara anaongea maneno yanayoonyesha kujutia urais, kuna kipindi aliongea na Pengo na kusema anatamani saa nyingine asingechukua form, juzi alipokuwa anakabidhiwa ripoti ya uchaguzi na Lubuva alisema anatamani urais ungekuwa ni awamu ya miaka 5 tu kwa sababu ya maneno ya watu.
Mimi naona kweli anafanya kazi, anatamani sana nchi isonge mbele haraka ila ilikuwa wrong kwake kuchukua urais,

angekuwa chini ya rais, mtu ambaye anaweza kuchora ramani za maendeleo, diplomatic na anayejua ku deal na criticism za kisiasa kitaifa na kimataifa, kisha yeye akawa kwenye nafasi ya kiutendaji iliyopo chini ya huyo mtu

urais ni nafasi ya kisiasa, unahitaji mtu mwenye temperament iliyo stable, diplomacy nzuri, mwenye calculation za mbali, na mvumilivu,

kwenye dunia ya leo mtu huwezi ukawa una sema eti hutaki wanaokukosoa eti tufanye kazi,
dunia ya leo media zimejaa, hata ukifungia mikutano bado wapinzani wanapewa coverage na vyombo vya habari, social media kama forums, facebook, YouTube Twitter n.k pia zinatumika sana na wananchi na wanasiasa wa upinzani wanazitumia, je utazuia pia media zote hizo kwa sababu hutaki kelele?

siku hizi kama huwezi deal na criticism bora usiwe mwanasiasa kwa kuwa huwezi kuzima, ni miezi 8 tu ila mtu keshaanza kutweta...tuone

huyu anataka viwanda viote kama uyoga, kwa kupiga marufuku bidhaa za nje kama sukari, kuongezea kodi bidhaa za nje kama nguo na mafuta ili tununue vya ndani wakati viwanda vya ndani vipo usingizini
point noted asiekuelewa hataelewa!!
urais ni cheo kikubwa kinachohtaji karisma ya Hali ya juu ya uongozi kiukweli
 
Wewe unasema Rais ana kauli gani?????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!! I am sure unalo tatizo kubwa la uelewa...Nyie vijana wa siku hizi sijui mna matatizo gani....sitaki mjadala na wewe, mimi ni mtu mzima, and I have got a family...
so...???!!;if u have got family!!ht mie nna familia unaweza kua MTU mzima hovyooo!!
we unaona raha sukari kuuzwa elf3 eehh!!ajira kusitishwa?!!
watumishi wasipande vyeo?!!!
halafu nyieeeee!!!
 
Back
Top Bottom