Lissu: Urais umemshinda Magufuli

Lissu: Urais umemshinda Magufuli

Ama kwel tz kna viziwi wengi sana ambao kila wakiona tu mdomo wa MTU unacheza tu bas waitika wakidhan wanaitwa : so watz wanafkri kila mkulu anachoongea n xahih ila one day watakja kujuta kama the German Aryan race repented during Hitler's reign
 
ila kila mara anaongea maneno yanayoonyesha kujutia urais, kuna kipindi aliongea na Pengo na kusema anatamani saa nyingine asingechukua form, juzi alipokuwa anakabidhiwa ripoti ya uchaguzi na Lubuva alisema anatamani urais ungekuwa ni awamu ya miaka 5 tu kwa sababu ya maneno ya watu.
Mimi naona kweli anafanya kazi, anatamani sana nchi isonge mbele haraka ila ilikuwa wrong kwake kuchukua urais angekuwa chini ya rais
urais unahitaji mtu mwenye temperament stable, diplomacy nzuri, mwenye calculation za mbali, na mvumilivu,

huyu anataka viwanda viote kama uyoga, kwa kupiga marufuku bidhaa za nje kama sukari, kuongezea kodi bidhaa za nguo na mafuta wakati viwanda vyw ndani vipo usingizini
hivyo viwanda vitaota eeehh kama uyoga acha bange...mpaka ss hivi kuwa na viwanda ni ndoto
 
Nimemiss sana kusikia PM na Mkuu wa Kaya wakitumbua majipu...

Maana utumbuaji umekua wa kusua sua now days...
Saizi kiki imebaki moja tu ya wafanyakazi hewa. Hii kiki itadumu kwa miaka mitano. Na hiyo mahakama ya mafisadi majaji wake wanaweza kuota sugu kwa kukaa kwenye mabenchi matupu maana yeye kwake mafisadi ni watumishi wa umma na ili upelekwe kwenye hiyo mahakama lazima uibe bilioni moja. Ofisi gani ya umma utaiba bilioni moja wakati hata bajeti hawapelekewi
 
hivyo viwanda vitaota eeehh kama uyoga acha bange...mpaka ss hivi kuwa na viwanda ni ndoto
mimi ndio niache bangi tena? viwanda inawezekana kuwa navyo ila sio kwa namna mkulu anavyofanya na kutuaminisha.
labda kama tukiwaleta wachina
 
  • Thanks
Reactions: BAK
wanaosema rais ameshindwa wao wameweza lipi??huyo lissu inamaana yote aliyoahidi katekeleza??
 
Ukawa wameshikwa kila kona,wamebaki ni kuropoka tu,neno lililokaribu ndio haki yao,no creativity kwenye vyama vyao,wanaishi magufuli,magufuli akikosa habar nao hawana kitu
 
Suala la viwanda tukiweka siasa pembeni sio la miaka mitano wala kumi suala la viwanda ni suala la mda mrefu hizi haadi za kipindi cha kampeini tuwe tunazisikiliza vizuri inakua ni mizuka ya wanasiasa uwezi kusema unatejenga viwanda wakati tulivyonavyo kuvifufua ni changamoto
 
ila kila mara anaongea maneno yanayoonyesha kujutia urais, kuna kipindi aliongea na Pengo na kusema anatamani saa nyingine asingechukua form, juzi alipokuwa anakabidhiwa ripoti ya uchaguzi na Lubuva alisema anatamani urais ungekuwa ni awamu ya miaka 5 tu kwa sababu ya maneno ya watu.
Mimi naona kweli anafanya kazi, anatamani sana nchi isonge mbele haraka ila ilikuwa wrong kwake kuchukua urais,

angekuwa chini ya rais, mtu ambaye anaweza kuchora ramani za maendeleo, diplomatic na anayejua ku deal na criticism za kisiasa kitaifa na kimataifa, kisha yeye akawa kwenye nafasi ya kiutendaji iliyopo chini ya huyo mtu

urais unahitaji mtu mwenye temperament stable, diplomacy nzuri, mwenye calculation za mbali, na mvumilivu,
kwenye dunia ya leo mtu huwezi ukawa una sema eti hutaki wanaokukosoa eti tufanye kazi, dunia ya leo media zimejaa wapinzani wanapewa coverage na vyombo vya habari, social media pia zinatumika sana, je utazuia pia media zote hizo kwa sababu hutaki kelele? siku hizi kama huwezi deal na criticism bora usiwe mwanasiasa kwa kuwa huwezi kuzima, ni miezi 8 tu ila mtu keshaanza kutweta...tuone

huyu anataka viwanda viote kama uyoga, kwa kupiga marufuku bidhaa za nje kama sukari, kuongezea kodi bidhaa za nguo na mafuta wakati viwanda vyw ndani vipo usingizini
Ungetulia ulikuwa na hoja mzuri sana, hata hivyo hongera!!
 
Yan kwa kweli hivi ndo huyu mkuu wa kaya wa Majipu kweli? Mbona kachuja sana alafu kwa haraka mno
 
Magufuli yupo vizuri sana katika uongozi. Yeye anafanya kwa vitendo zaidi. Ndani ya kipindi kifupi tu tangu kuingia madarakani ametekeleza ahadi nyingi. KUMHUKUMU RAIS KWA SASA KUWA AMESHINDWA NI UPUUZI MTUPU KWANI KIPINDI CHAKE CHA KUONGOZA MUHULA MMOJA NI MIAKA MITANO.
Kweli anafanya kwa vitendo sukari kutoka 1800 mpaka 3000+. Hongera Rais wetu mwema sana.
 
Magufuli yupo vizuri sana katika uongozi. Yeye anafanya kwa vitendo zaidi. Ndani ya kipindi kifupi tu tangu kuingia madarakani ametekeleza ahadi nyingi. KUMHUKUMU RAIS KWA SASA KUWA AMESHINDWA NI UPUUZI MTUPU KWANI KIPINDI CHAKE CHA KUONGOZA MUHULA MMOJA NI MIAKA MITANO.
Yeye mwenyewe anasema ameelemewa, sasa tumwamini nani? wewe au yeye?
 
adai atafute shughuli nyingine

chanzo: Tanzania daima
watanzania wanajua kilakitu, leo wanalalamikia jambo fulani ukitatua tatizo hilo hilo wanaanza kulalamika mara ndege hazitasaidia kitu, mara mabasi yenyewe sio ya mwendo kasi, mara rais amekuwa dekteta (tulikotoka walisema mpole)....
 
Magufuli yupo vizuri sana katika uongozi. Yeye anafanya kwa vitendo zaidi. Ndani ya kipindi kifupi tu tangu kuingia madarakani ametekeleza ahadi nyingi. KUMHUKUMU RAIS KWA SASA KUWA AMESHINDWA NI UPUUZI MTUPU KWANI KIPINDI CHAKE CHA KUONGOZA MUHULA MMOJA NI MIAKA MITANO.
Zaidi ya mara moja ameshajihukumu mwenyewe kwa kusema anajuta kwa nini aligombea urais, siyo mara zote raia wamemhukumu.
 
katika watu wanaonitia hasira ni pamoja na mheshimiwa lissu!!yeye anaweza lipi ikiwa alisema kuwa kwenye list ya mafisadi lowassa yupo lakini baadae alikuja kuikana?mwanasheria mzima unapublish wrong data that shall be read all over the world??
Kwahiyo wewe ulitakaje, pamoja na Lowassa kusemwa, CCM ilichukua hatua gani?
 
Back
Top Bottom