Lissu: Urais umemshinda Magufuli

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,905
4,054
Adai atafute shughuli nyingine

chanzo: Tanzania daima
IMG_20160626_093219.jpg
 
ila kila mara anaongea maneno yanayoonyesha kujutia urais, kuna kipindi aliongea na Pengo na kusema anatamani saa nyingine asingechukua form, juzi alipokuwa anakabidhiwa ripoti ya uchaguzi na Lubuva alisema anatamani urais ungekuwa ni awamu ya miaka 5 tu kwa sababu ya maneno ya watu.
Mimi naona kweli anafanya kazi, anatamani sana nchi isonge mbele haraka ila ilikuwa wrong kwake kuchukua urais,

angekuwa chini ya rais, mtu ambaye anaweza kuchora ramani za maendeleo, diplomatic na anayejua ku deal na criticism za kisiasa kitaifa na kimataifa, kisha yeye akawa kwenye nafasi ya kiutendaji iliyopo chini ya huyo mtu

urais ni nafasi ya kisiasa, unahitaji mtu mwenye temperament iliyo stable, diplomacy nzuri, mwenye calculation za mbali, na mvumilivu,

kwenye dunia ya leo mtu huwezi ukawa una sema eti hutaki wanaokukosoa eti tufanye kazi,
dunia ya leo media zimejaa, hata ukifungia mikutano bado wapinzani wanapewa coverage na vyombo vya habari, social media kama forums, facebook, YouTube Twitter n.k pia zinatumika sana na wananchi na wanasiasa wa upinzani wanazitumia, je utazuia pia media zote hizo kwa sababu hutaki kelele?

siku hizi kama huwezi deal na criticism bora usiwe mwanasiasa kwa kuwa huwezi kuzima, ni miezi 8 tu ila mtu keshaanza kutweta...tuone

huyu anataka viwanda viote kama uyoga, kwa kupiga marufuku bidhaa za nje kama sukari, kuongezea kodi bidhaa za nje kama nguo na mafuta ili tununue vya ndani wakati viwanda vya ndani vipo usingizini
 
ila kila mara anaongea maneno yanayoonyesha kujutia urais, kuna kipindi aliongea na Pengo na kusema anatamani saa nyingine asingechukua form, juzi alipokuwa anakabidhiwa ripoti ya uchaguzi na Lubuva alisema anatamani urais ungekuwa ni awamu ya miaka 5 tu kwa sababu ya maneno ya watu.
Mimi naona kweli anafanya kazi, anatamani sana nchi isonge mbele haraka ila ilikuwa wrong kwake kuchukua urais
si ajiuzulu mbn pm camerun amejiuzulu, only in Africa that never happen
 
Magufuli yupo vizuri sana katika uongozi. Yeye anafanya kwa vitendo zaidi. Ndani ya kipindi kifupi tu tangu kuingia madarakani ametekeleza ahadi nyingi. KUMHUKUMU RAIS KWA SASA KUWA AMESHINDWA NI UPUUZI MTUPU KWANI KIPINDI CHAKE CHA KUONGOZA MUHULA MMOJA NI MIAKA MITANO.
 
kwani wewe hapo kwako sukari unanunua 1800?
 
Back
Top Bottom