PreGE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

PreGE2025 Lissu: Tutazuia uchaguzi kwa njia mbalimbali ikiwemo maandamano kama hakutokuwa na mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mzee Wasira makamu mwenyekiti wa CCM amemwuliza Lissua awaambie watanzania atatumia njia gani kuzuia uchaguzi ili msimamo wao wa "No reform no election" utekelezeke

..unataka akwambie mbinu zake ili umkwamishe?

..Wassira aeleze kwanini CCM hawataki reforms wakati falsafa ya Mwenyekiti ni 4R?

..au sasa tumekuwa 3R, Reforms haipo?
 
Chadema mnamkutano na watia nia za ubunge na huenda mkaanza kuuza form kwa wagombea ubunge na madiwani, "" no reform no elec"inamsingi gani hapo, yaani ujinga tu, Ingelikuwa mpo seriasi mngesimamia jambo moja tu, kudai reform. This mean chama kiko mbele zaidi kifedha zaidi, na slogan za kitoto!
 
Mzee Wasira makamu mwenyekiti wa CCM amemwuliza Lissua awaambie watanzania atatumia njia gani kuzuia uchaguzi ili msimamo wao wa "No reform no election" utekelezeke
Huyo sio size ya Lisu ,hayo ni maswali ya kuulizana babu na wajukuu huko nyumbani
 
Kwenye strategy ya vita huwezi kumpa mbinu adui yako jinsi ya kumshambulia na utatumia silaha gani.
 
Kwenye strategy ya vita huwezi kumpa mbinu adui yako jinsi ya kumshambulia na utatumia silaha gani.
Ujinga tu, uzeni form za wabunge na madiwani kimya kimya, Hayupo wala hatatokea wa kuzuia uchaguzi.
 
Mzee Wasira makamu mwenyekiti wa CCM amemwuliza Lissua awaambie watanzania atatumia njia gani kuzuia uchaguzi ili msimamo wao wa "No reform no election" utekelezeke
Nenda kwenye Mikutano yake. Humu unatupotezea tu muda wa kusoma mambo ya maana kama report ya CAG
 
Mzee Wasira makamu mwenyekiti wa CCM amemwuliza Lissua awaambie watanzania atatumia njia gani kuzuia uchaguzi ili msimamo wao wa "No reform no election" utekelezeke
Nenda kwenye Mikutano yake. Humu unatupotezea tu muda wa kusoma mambo ya maana kama report CAG
 
Kama sijakosea nafikiri alisema ataongea na marafiki zake huko nje na wapiga kura.
 
Anajibiwa mtu mwenye akili timamu na weledi wa kutosha.

Badala ya kufanya mambo ya maana, Lisu apoteze muda wake kwa Wasira!! Huyo ni wa kupuuzwa na wote wenye akili timamu na uelewa mkubwa.

Mwacheni Wasira aendelee kuitangaza NO REFORM NO ELECTION.
 
Back
Top Bottom