Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Kama Samia anafanya vizuri na anamuamini anaogopa nini kumuacha Ili aendeleze kazi ya kupambana na wapiga dili?.
Msisumbuke, uzuri wa magu ni kuwa anaujua vizuri uwezo wa kiakili wa watu anaowahutubia, anajua hawawez kureason hivyo (si wote). Nadhan wale wanaojipendekeza kurusha live matangazo ya hotuba za magu huwa wanamkosea sana. Hajawahi kuongea hotuba universal, mara zote ziko local na zinaendana na upeo wa watu anaowahutubia ingawa nachelea kusema kuwa huwa ana wa underestimate hadhira
 
Unajua Magu anaweza Ondoka kirahisi sana kwenye Uchaguzi ujao pamoja na mikwara na jitihada zake za kutaka kuua upinzani kwa Udikteta.

Kutumia nguvu kubwa mwazon, mwishon huwa kunakuwa kugumu
10bdc58367b765ea08cfc0f8cb292894.jpg

Unasemaje?
 
Magufuli hawezi kusafiri nje kisa anaogopa wapigaji?

What the flip is that?

Ndo Magu alivyowahi kusema au ni ubunifu wa fikra za Lissu tu?

Kuhusu Bi. Shonza....dada mshari sana huyo.

Halafu sijui anajiamini nini tu maana mmoja wa wale wabunge wa CHADEMA [simjui jijna] ni bonge la jimama.

Likimlalia Bi. Shonza linam-suffocate kabisa😀
Kuhusu Magu ni kweli alisema juzu akiwa Sengerema
 
Magufuli hawezi kusafiri nje kisa anaogopa wapigaji?

What the flip is that?

Ndo Magu alivyowahi kusema au ni ubunifu wa fikra za Lissu tu?

Mkuu, siku hizi husikilizi Youtube za Homeboy au ndiyo mambo ya 'a healthy dose of skepticism', albeit for its own sake?
 
Swali pana sana,nitaandika kuhusu hilo hapa JF mbeleni.
Ngoja nikusaidie kidogo, mengine utaongezea.

Taasisi imara zinajengwa na Katiba ya wananchi. Katiba ya wananchi ni ile yenye kuwapa wananchi mamlaka kamili. Yaani kwa Katiba ya aina hiyo, viongozi wanakuwa kweli viongozi na siyo watawala. Katiba hiyo itawapa wananchi mamlaka ya kumwondoa kiongozi yeyote wakati wowote ule kwa utaratibu wa referendum, ambapo mwananchi au kikundi cha wananchi a/kinaweza kuanzisha mchakato huo wa kumwondoa kiongozi husika kwa kukusanya sahihi kadhaa za wananchi walio eligible kuchagua kiongozi.

Pili, hili litafanikiwa zaidi kwa uwepo wa local governments zenye mamlaka kamili ya kiutawala na kifedha, haswa kwenye kutunga sheria za kodi na kukusanya kodi. Nchi yetu ni kubwa mno. Huu mfumo wa sasa ulio centralised ni wa kizamani. Mfumo huo unatengeneza sana mianya ya rushwa, uzembe, inefficiencies n.k. Katika jambo kubwa ambalo nawaunga mono CHADEMA ni ili la serikali za majimbo. Kwa uwep wa centralised state, Magufuli hata afanye nini uzembe, rushwa na kutowajibika kwa viongozi hukuwezi kuisha. Sana sana atakavyozidi kubana, watakaothirika ni wananchi walioko kwenye local governments.

Kwa kuwapa wananchi mamlaka kamili kupitia mfumo wa serikali huru na kamili za majimbo, wananchi wataweza kuwawajibisha viongozi na serikali zao za majimbo.

Kuna nchi nyingi tu duniani zinatumia mfumo wa kitaasisi niliousema hapo juu. Je, Magufuli yupo tayari kwa hili? Sidhani. Kwa kuwa kwa ilivyo sasa, Magufuli hana legitimacy ya kupambana na rushwa na upigaji, ilhali naye ni mla rushwa na mpigaji. Bila ya mfumo nilioulezea, watu wa serikalini wataendelea kumchora tu, huku wakuendelea na upigaji kama kawaida, kwani wananchi hawawezi kuwafanya lolote.
 
Kama ni mwanachama tokea 1998 na hujui mfumo wa fedha wa chama basi ni tatizo. Hesabu za chama zinakaguliwa baada ya taarifa yake kuhojiwa ndani ya Kamati kuu. Na kabla ya 2015 kulingana na uhaba wa fedha ilikuwa ni kawaida kwa mwanachama yeyote kukikopesha chama fedha au huduma kwa utashi wake na wengi tulifanya hivyo.
Hizo hoja za kumsema Mbowe sikutegemea kutokea kwa mwanachama mwandamizi kama wewe (iwapo ni kweli ni mwanachama wa muda mrefu)
Ooh, kumbe na wewe unakidai chama!
 
Ngoja nikusaidie kidogo, mengine utaongezea.

Taasisi imara zinajengwa na Katiba ya wananchi. Katiba ya wananchi ni ile yenye kuwapa wananchi mamlaka kamili. Yaani kwa Katiba ya aina hiyo, viongozi wanakuwa kweli viongozi na siyo watawala. Katiba hiyo itawapa wananchi mamlaka ya kumwondoa kiongozi yeyote wakati wowote ule kwa utaratibu wa referendum, ambapo mwananchi au kikundi cha wananchi a/kinaweza kuanzisha mchakato huo wa kumwondoa kiongozi husika kwa kukusanya sahihi kadhaa za wananchi walio eligible kuchagua kiongozi.

Pili, hili litafanikiwa zaidi kwa uwepo wa local governments zenye mamlaka kamili ya kiutawala na kifedha, haswa kwenye kutunga sheria za kodi na kukusanya kodi. Nchi yetu ni kubwa mno. Huu mfumo wa sasa ulio centralised ni wa kizamani. Mfumo huo unatengeneza sana mianya ya rushwa, uzembe, inefficiencies n.k. Katika jambo kubwa ambalo nawaunga mono CHADEMA ni ili la serikali za majimbo. Kwa uwep wa centralised state, Magufuli hata afanye nini uzembe, rushwa na kutowajibika kwa viongozi hukuwezi kuisha. Sana sana atakavyozidi kubana, watakaothirika ni wananchi walioko kwenye local governments.

Kwa kuwapa wananchi mamlaka kamili kupitia mfumo wa serikali huru na kamili za majimbo, wananchi wataweza kuwawajibisha viongozi na serikali zao za majimbo.

Kuna nchi nyingi tu duniani zinatumia mfumo wa kitaasisi niliousema hapo juu. Je, Magufuli yupo tayari kwa hili? Sidhani. Kwa kuwa kwa ilivyo sasa, Magufuli hana legitimacy ya kupambana na rushwa na upigaji, ilhali naye ni mla rushwa na mpigaji. Bila ya mfumo nilioulezea, watu wa serikalini wataendelea kumchora tu, huku wakuendelea na upigaji kama kawaida, kwani wananchi hawawezi kuwafanya lolote.
Nakushukuru sana kwa ufafanuzi huu mzuri sana,nikitulia nitaandika zaidi kuhusu haya:
Natamani kuzungumzia pia weak administrative structures ambazo tumezirithi toka kwa wakoloni na namna ambavyo hazikidhi mahitaji ya wananchi kwa sasa na zinahitaji marekebisho

Pia kuzungumzia formalisation ya uhusiano kati ya wananchi na viongozi hiki ni kitu kinatugharimu sana toka viongozi wanachaguliwa majority ya viongozi hawajui expectations za namna ambavyo wananchi wanategemea kuhudumiwa na viongozi wao na hawahoji na kuchukulia viongozi hatua pale ambapo wameshindwa kutimiza malengo kutegemeana na matarajio yao.

Na jambo la tatu ni ushiriki wa wananchi katika governance kwa kuchagua mfumo ambao unawahudumia wao vizuri,unaowezsha chaguzi huru na unaowapa sehemu katika maamuzi wananchi walio wengi

Na la nne ninalowaza kulizungumzia mbeleni ni uwekaji wa mazingira mazuri na mechanisms za maendeleo ya kiuchumi kwa nchi nzima

Pat Utomi aliandika hivi kwenye moja ya paper zake ninazozipenda "In the absence of institutions, strong men dominate, and the effect of their dominance is weakened rule of law and elevated uncertainty levels. Institutions have and follow rules, strong men have friends and follow whims. The outcome from one is calculable probability of outcomes; from the other uncertainty. Uncertainty makes decision making problematic and often results in either the avoidance of economic engagement or the high cost of hedging against undesired outcomes. These high transaction costs translate to uncompetitiveness for the economy.Even more troubling, high uncertainty which results in poor economic performance can create a class of people who are so left out they feel they have nothing to lose. With no stake in the social order they turned to conduct that more or less usher in anarchy."
 
Language Improficiency..
Lack of Exposure..
Poor on International Diplomacy

These are his main problems which make him not to get out of the Country.
You may think so asif you are english prificient, and that you are a seasoned diplomat.

By the way what factors do you have to qualify your statements (in red colour)?

In any case, the President's message was loud and clear and that as the chief accountig officer of this nation he is responsible for every thing. Delegation does not relieve one of his/her responsibility.

ALWAYS GIVE A THOUGHT BEFORE YOU REACT
 
Sababu moja wapo ya kushindwa kwa nchi nyingi za Kiafrika ni pale ambapo kila tunapokuwa dhaifu katika uongozi-"weak administrative structure or so... ", kushindwa kiuchumi kwa kutaja machache, huishia kuwasingizia wakoloni...
 
Language Improficiency..
Lack of Exposure..
Poor on International Diplomacy

These are his main problems which make him not to get out of the Country.
Hivi Putin au raisi wa China akisafiri anaongea Kiingereza?mbona wewe unakuwa mjinga kiasi hicho,lugha haimzuii mtu kusafiri,Kikwete alipokuwa akikwea pipa kila mara mlimwita Vasco Da Gama,raisi Magufuli hasafiri napo mnalalamika,nyie ni kama wale kasuku kazi kuimba tu hata kama ni matusi
 
Lisu amekuwa mkosoaji wa upuuuzi wa ccm na serikali yake hata kabla ya kuwa mbunge. Hivyo kukosa ubunge si kitu cha kumzuia Lisu kutetea utawala wa sheria.

Angeheshimika kama angetetea Katiba ya Chama chake kwanza, katika teuzi mbali mbai za uongozi katika chama. Kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu, 2015 na uteuzi uwakilishi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki, wa chama chake, kinamwondolea hiyo sifa unayoisema.

Isitoshe, siyo tu anapaswa kukemea matamshi ya hovyo ya viongozi wenzake kwenye chama, inabidi pia athibiti mdomo wake, usio na simile, kwa kuropoka kuliko hata mwenda wazimu.
 
Ni kweli kabisa hii serikali ni ya kipigaji hakuna mfano mpaka kwenye michango ya misiba.
 
Back
Top Bottom