Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Alitumia muda mwingi sana kuandaa serikali yake ili apate watu makini, akasema hawezi kuteua mtu bila kupitia faili lake, hao hao leo anashindwa kusafiri nje kisa akiwaachia ni wapiga dili, tumuelewe vipi?,japo baraza la mawazili alilo teua ilibidi atumie wiki moja.
 
hayo yote hayana maana km unashindwa kufocus katika "developmental state" ambayo ndio core kwa realist km sisi!

>>maendeleo hayaletwi kwa lugha ya kiingereza
[HASHTAG]#hii[/HASHTAG] ni poor argument

>>mama samia kaend ethiopia,hyo ndo diplomasia
*diplomasia sio kwenda nje pindi unapojickia t hata kwny birthday

>>akiwa km yule dhaifu utakuja hapa tena kupiga kelele
Utetezi wa kijinga huu! Alialikwa kwenda kwenye birthday huko? Haliwezi kuongea na wazungu kwa saa hata 4 tu full stop!
 
Dalili ya Udikteta huo kwani miaka yake ikiisha atatengua katiba ili anendelee kutawala.maendeleo hayaji kwa hotuba na kiongoxi mkuuu kulalamika.
 
Naona Mwanza, Arusha, Kilimanjaro, Chato na Dodoma ndo Tanzania mikoa mingine haipo Tanzania
 
Yeye kama Rais ,kuna baadhi ya mambo sio sifa au busara kuvitamka hadhalani,
Anatakiwa kutekeleza na sio kuongea kilakitu.asipokua makini atakuja kuaibika kuliko hao waliomtangulia.

Watajitahidi kutumia ubabe kuficha mabaya lakini wakumbuke miaka mi5 au 10 sio mingi,atakuja mtu Mpya tusije tukashangaa yakaibuliwa mambo ya ajabu kuliko waliotangulia.
 
Ushauri wangu kwa wabunge wa vyama vya upinzani. Nguvu zenu na hoja zenu zenye tija na hekima na zenye nguvu za kimaendeleo zibakisheni kwa hakiba ya miaka ijayo. Ingieni Bungeni kama wasikilizaji tu, Hili Bunge tayari limesha toa maamuzi ambayo hata mkitoa hoja za maana zitabaki kudharauliwa machoni mwenu na kutumiwa nyuma ya pazia. Tumieni nguvu zaidi kwenye majimbo yenu. Sasa hivi wabunge wa CCM walisha gundua ni kipi Rais wetu anapenda, Kwahiyo kila kukicha mtaendelea kutukanwa na kudharauliwa na mwisho wa siku mtatolewa bungeni kama watoto wa shule za msingi. JIPANGENI MSHIKAMANE MRUDI MKAFANYE KAZI MAJIMBONI MWENU.
 
Unawezaje kubisha kwamba sio wapigaji wakati wao ndio wapo madarakani tangu enzi hizo mikataba ya hovyo imefanywa na wao mingine hewa harafu bado kunahitaji majibu...
 
Unawezaje kubisha kwamba sio wapigaji wakati wao ndio wapo madarakani tangu enzi hizo mikataba ya hovyo imefanywa na wao mingine hewa harafu bado kunahitaji majibu...
 
Hii mikutano ya Uzinduzi wa miradi naona imekuwa ya kampeni za chama!!
 
Ubunge atapata, lakini amulike na upigaji wa mbowe chadema kwa kusingizia kukikopesha chama.
Kila siku mnasema upigaji wa Mbowe, nyie ndio wenye TISS, takukuru, mahakama, polisi na jeshi, mbona hamumkamati
 
Mi nilidhani Rais Magufuli angepongezwa sana na wapinzani kwa style ya uongozi wake maana mengi anayoyafanya ni yale wapinzani walikuwa wakipigia kele lakini cha ajabu anapochukua hatua wanamwita majina ya ajabu. Kweli nimeami upinzani ni unafiki.
 
Language Improficiency..
Lack of Exposure..
Poor on International Diplomacy

These are his main problems which make him not to get out of the Country.
Which language? Which exposure?
[emoji382] [emoji381] [emoji382] [emoji381] mtumwa wa maendeleo ,mtumwa lugha ,language itafanya madawa yapatikane hospital,maji,barabara mbona mvivu kufikiri ww
 
Exactly....
Mbona nyie wavivu kufikiri (language,exposure,diplomacy) vita waletea maji,barabara,umeme na hospital hebu ongeeni mambo ya msingi ambayo yatatuletea maendeleo au akijua kuongea kingeri umeme unawaka nchi nzima.Exactly kujua hilo neno limekupa faida gani kama sio utumwa.
 
Kwani Lissu asipopata ubunge ni hasara kwa nani? Watanzania wengi bado tuna ujinga sana! Tunafikiri kuua upinzani ndio maendeleo ya Tanzania. Angalia nchi nyingi zilizoendelea kama utaipata ambayo wananchi wake wamewakomoa wapinzani kwa kuwanyima kura. Badala yake nchi hizo zimeunga mkono upinzani kwa nguvu kubwa na hivyo kuifanya serikali na vyama tawala kufanya kazi kubwa ya maendeleo. Nchi hizo ni kama vile Marekani, Uingereza, Ujerumani, n.k. Kwetu sisi tunaona kumnyima ubunge Lissu ni kumkomoa yeye na Chama chake. Poor Tanzanians
 
Tutashangilia kwa shangwe na kutupilia mbali mambo yake mabaya
Mnaopiga kelele humu either mlikuwa wafanyakaz hewa ,wapigaji,vyeti feki kama sio ww basi ndugu yako polen cz mnaongea vitu visivyo na msaada wowote katika maendeleo(mnaongea maneno ya kusutana hayana mashiko katka maendeleo)
 
Back
Top Bottom