Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Hoja ya lissu ni ipi mbona kuna mchanganyo wa mada?
 
...sababu za JPM kutosafiri nje zinajukikana tangu ameingia madarakani.. Nazo ni...

1. Kutojua kwa ufasaha lugha ya kiingereza....kuna watakaosema angetumia kiswahili huko nje...lakini wakumbuke hata kiswahili fasaha kwake issue...

2.sababu ya pili ambayo nayo haisemwi sana ni aerophobia....hii kwa wanaofatilia watanielewa....

...hayo mengine anayosema ya kuzuia wapigaji ni blah blah tu...anajaribu kujustify yeye kuogopa safari za nje...na mihadhara ya kina pale atakapopewa plenary session zenye kuhitaji tafakuri za kina...
 
Sio tena anakwepa gharama bali kwa sasa anapambana n wapigaji!Nachokumbuka alishapata kusema hatasafiri na hasafiri kwa sababu ya GHARAMA na yeye anabana matumizi
 
Magu hajui kabisa kuzungumza.

Kama hivyo ndivyo alivyosema basi si ajabu alimaanisha kitu kingine kabisa.
Ila wabongo mnakera sana kuzungumzia kila kitu, hata kama hamkijui vizuri. Why vitu vingine visiachwe vikapita tu.

- Kila kitu neno kwa neno, nukta kwa nukta, kauli kwa kauli - Kila kinachokatiza mbele lazima watupie komenti. Tumebarikiwa sana kwa hili asee na laiti kama kungekuwa na mashindano ya kupiga domo, tusingekuwa na MPINZANI Duniani
 
Ubunge atapata, lakini amulike na upigaji wa mbowe chadema kwa kusingizia kukikopesha chama.
Ndio shida yenu, mnadhani anaposemwa Magu ni kwa vile ni mwenyekiti wa ccm. Anazungumziwa kwa vile yeye ni wa Taifa zima huko ndani ya ccm watajijua wenyewe maana mambo ya ndani ya chama ni ridhaa ya wanachama wenyewe ndio maana hata Kile cha Mtikila yeye kafa mkewe kachukua uenyekiti na hakuna mtu wa nje ya chama anahangaika nao.
Hivyo kupoteza muda na Mbowe wakati wewe sio mwanachama wa Chadema ni fikra mfu au umbea tuu kama wa Juliana Shonza
 
Sio tena anakwepa gharama bali kwa sasa anapambana n wapigaji!Nachokumbuka alishapata kusema hatasafiri na hasafiri kwa sababu ya GHARAMA na yeye anabana matumizi
Anazidi kutapatapa. Kina kinaongezeka na mawimbi pia
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Ubunge atapata, lakini amulike na upigaji wa mbowe chadema kwa kusingizia kukikopesha chama.

Maudhi yenu ndo hayo. Upigaji dili wa chadema unamzuiaje Magu kusafiri kwenda Ethiopia kukaa na viongozi wenzake?? Au ndo anampa exposure huyu Mama yetu ili ampishe 2020?? Acha kuharibu thread za watu. CDM sio yako
 
Unajua Magu anaweza Ondoka kirahisi sana kwenye Uchaguzi ujao pamoja na mikwara na jitihada zake za kutaka kuua upinzani kwa Udikteta.

Kutumia nguvu kubwa mwazon, mwishon huwa kunakuwa kugumu

Kwanza anaweza asitake kugombea; tangu mwanzo aligombea kwa shinikizo na kazi anayofanya sasa ili basi aweze kutawala haifanani kabisa na historia ya kisiasa ya nchi hii. Pili, I am sure hata wale waliomshinikiza hawakutegemea hali ingekuwa hivi na sidhani kama watamshauri aendelee.
 
Ndio shida yenu, mnadhani anaposemwa Magu ni kwa vile ni mwenyekiti wa ccm...
Hivi wewe unafikiri kila anayeusema uovu wa mbowe ni ccm?! Kama ni uanachama wa chadema, mimi ni mwanachama mkongwe since 1998, did you know that?
 
Maudhi yenu ndo hayo. Upigaji dili wa chadema unamzuiaje Magu kusafiri kwenda Ethiopia kukaa na viongozi wenzake?? Au ndo anampa exposure huyu Mama yetu ili ampishe 2020?? Acha kuharibu thread za watu. CDM sio yako
Ni ya nani?!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Alisema jana kuwa ananyoosha nchi kwanza, kwa mfumo wa nchi yetu, Rais ndiye kila kitu, hivo Mh. Rais anajua kabisa akiondoka tu hali inaweza kubadilika huku nyumbani.

Kikwete aliwaachia uhuru wa kutosha mawaziri na watendaji wake serikalini yeye akawa anazurura tu nje ya nchi, yaliyotokea kila mtu anayajua
Lissu ameongea vyema!!!!! ndio "IF" halafu "IF" obviously woteee!!! pamoja na mie ni "wapigaji".
 
inamaana hata yeye alipiga dili kwenye mv dsm jk alipokua nje?
 
Alisema jana kuwa ananyoosha nchi kwanza, kwa mfumo wa nchi yetu, Rais ndiye kila kitu, hivo Mh. Rais anajua kabisa akiondoka tu hali inaweza kubadilika huku nyumbani.

Kikwete aliwaachia uhuru wa kutosha mawaziri na watendaji wake serikalini yeye akawa anazurura tu nje ya nchi, yaliyotokea kila mtu anayajua
Kwan alivyoenda ethiopia na rwanda alikuwa haogop hao wapiga dili, au kwan akienda harudi tena nchini ?
 
Hivi wewe unafikiri kila anayeusema uovu wa mbowe ni ccm?! Kama ni uanachama wa chadema, mimi ni mwanachama mkongwe since 1998, did you know that?
Kama ni mwanachama tokea 1998 na hujui mfumo wa fedha wa chama basi ni tatizo. Hesabu za chama zinakaguliwa baada ya taarifa yake kuhojiwa ndani ya Kamati kuu. Na kabla ya 2015 kulingana na uhaba wa fedha ilikuwa ni kawaida kwa mwanachama yeyote kukikopesha chama fedha au huduma kwa utashi wake na wengi tulifanya hivyo.
Hizo hoja za kumsema Mbowe sikutegemea kutokea kwa mwanachama mwandamizi kama wewe (iwapo ni kweli ni mwanachama wa muda mrefu)
 
Back
Top Bottom