Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Lissu: Serikali ya Magufuli imejaa wapigaji

Language Improficiency..
Lack of Exposure..
Poor on International Diplomacy

These are his main problems which make him not to get out of the Country.
Local Diplomacy hakuna hiyo ya kupeleka nje inatoka wapi !!??
 
Kitendo cha Rais kusema hawezi kwenda nje ya nchi kisa wapigaji naona ni udhaifu fulani ndani ya serikali yake. Maana hiyo hata wasaidizi wake hawaamini hata kidogo
 
Kama anaogopa kusafiri kwasababu ya wapigaji, basi lazima atabaki madarakani indefinetly kwasababu hiyo hiyo hiyo ya wapigaji.Cha kubadilisha hapa ni mfumo. Mbona mwalimu walifanikiwa kumdanganya na alikuwa akifuatilia pengine kuliko Huyu wa sasa.
Sio siri hamfiki Mwalimu ataa 25% kiuongozi na ufuatiliaji .lakini ilifikia wakati ikawa Mwalimu ni kama ameachiwa mwenyewe kuongoza ndio maana akajishtukia kabla wananchi nao hawaja muacha kumuunga mkono akangatuka
 
Back
Top Bottom